Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hawa makocha Wa Yanga hovyo sana.
Unamtoa Balama unaingiza mzigo Yikpe.
Sub yangu ingekuwa Ally mtoni halafu Kaseke aende mbele
Siyo mbaya kupata sare dhidi ya Azam fc, muhimu ni kushinda mechi zilizobaki tunyakue ubingwa wa ligi tukaiwakilishe nchi Club bingwa Africa.
Daima mbele
Hahahaaa kuna taarifa nimezipata kuwa Shadeeya kakubali leo wamebebwa kwa mbeleko ya chuma.🐸😬Ha ha ha unawachokoza wazee wa Nyuma Mwiko[emoji16]
Hahahaaa kuna taarifa nimezipata kuwa Shadeeya kakubali leo wamebebwa kwa mbeleko ya chuma.[emoji196][emoji51]
Lol.Nikiwa na akili timamu natangaza kuhamia Yanga sc ikiwa itafanikiwa kuifunga Azam fc hapo kesho.😎
Shadeeya hifadhi maneno yangu.
Mtani Chepesi kutabiri ni mvua pekee. 😎😎Kazi ya nini wewe hapo Azam anajichukulia points zake 3 anaondoka.🐸😬
Nawatakia Azam ushindi mnono hapo kesho.
😂😂Ninyi huwa mnaahidi kulala hadi na mama zenu,kweli Mzee rage amewaharibu sana kwa laana yake ha ha ha
Hahahahaaa. Lol.Bukta, mzungu akawa anamshangaa tu. Dizaini alikuwa anamuambia wewe Mzee unataka nibaki uchi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tshishimbi ndo maheruhi ila Juma Abdul alikuwa na kadi tatu za njano.Juma Abdul na tshishimbi ni majeruhi? So far kikosi si kibaya,kuna watu wawili tu hapo ndio siyo wa uhakika japo wanaweza Fanya lolote! Kila la heri jeshi letu la wananchi wa Tanzania!View attachment 1485171
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi wananikeraga hawajui tu. Yaani wakishamuingiza huyo Yikpe basi ujue atamaliza madakika kibao kufanya fouls na mpira kusimama simama pasi cha maana anachofanya.Hawa makocha Wa Yanga hovyo sana.
Unamtoa Balama unaingiza mzigo Yikpe.
Sub yangu ingekuwa Ally mtoni halafu Kaseke aende mbele
Mi wananikeraga hawajui tu. Yaani wakishamuingiza huyo Yikpe basi ujue atamaliza madakika kibao kufanya fouls na mpira kusimama simama pasi cha maana anachofanya.
05: 26hrs 😂😂Atakuja kukujibu sa 05:23 alfajiri[emoji16]
05: 26hrs [emoji23][emoji23]
Sawa.Usikasirike ndo timu yenu[emoji16]
Sawa.
Poa Mtani. Naona tunazidi kuwasafishia njia kuelekea ubingwa.Vp!lkn