Hujamsikia alichosema?Kama alisaini mkataba basi huyo mchezaji na mbumbumbu watakiona cha moto. Salama yao labda iwe kinyume
huyo mshamkosa, katafuteni mwingine tuje tubebe tenaUjue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.
Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. π
Na cha ajabu hata hawalifikirii hilo.Pasipo kujua nafasi yao ipo kwenye wasiwasi Mkubwa dhidi ya azam
Kwani wewe haujasikia alichokisema Eng. Hersi Said?Hujamsikia alichosema?
Ndugu yangu vichwa wanafugia nywele tu. Ha ha ha haNa cha ajabu hata hawalifikirii hilo.
Mnyero Fc bwana.
Linafikirisha mno Mkuu.Hili jambo linafikirisha sana. N way kama ni kweli mchezaji alisaini mkataba basi adhabu walompa ni ndogo ilipaswa asimamishwe hata kwa michizo kadhaa kwa malipo ya nusu mshahara na pasipo mlipa bonus yoyote kwa kipindi hicho chote
sasa akikaa nje mnamchezaji ganiHili jambo linafikirisha sana. N way kama ni kweli mchezaji alisaini mkataba basi adhabu walompa ni ndogo ilipaswa asimamishwe hata kwa michizo kadhaa kwa malipo ya nusu mshahara na pasipo mlipa bonus yoyote kwa kipindi hicho chote
Hakika.Kama alisaini mkataba basi huyo mchezaji na mbumbumbu watakiona cha moto. Salama yao labda iwe kinyume
Ahsante!! Vijana nyie ndio wasahaulifu. πΆββοΈhahaha hongera kwa kumbukumbu
Daah!! Ila hizi mambo hizihuyo mshamkosa, katafuteni mwingine tuje tubebe tena
Wanajitoa ufahamu tu hao.Kwani wewe haujasikia alichokisema Eng. Hersi Said?
Alizingua mechi kadhaa huko nyuma mpaka Shinyanga hakuenda ni nani alikuwa anacheza?sasa akikaa nje mnamchezaji gani
Hahahahaaaa.Ndugu yangu vichwa wanafugia nywele tu. Ha ha ha ha
Hahahahaaaa.
Cc. Yule anayeniandalia maneno ya kukera ikiisha mechi na Namungo. Van pebles. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanajitoa ufahamu tu hao.
Maneno ya kujilinda tu club nyingine zisisogee hapo, Mchezaji mwenyewe keshasema hajasaini na kaweka wazi nia yake ya kuondoka (let's assume amesaini, anataka ondoka, watu wana terminate tu )Kwani wewe haujasikia alichokisema Eng. Hersi Said?
Mchezaj kasemaje ? let's assume amesain, anataka sepa, mnamzuiaje??Wanajitoa ufahamu tu hao.
Hakika.
eng hersi ana cheo gani yangaKwani wewe haujasikia alichokisema Eng. Hersi Said?