Tulia game ni saa mojaLete updates ya kikosi acha kujifanya umesahau[emoji16]
Hahahahaaa. lolHatimae leo umepata mtetezi[emoji23]
Hapo hamna cha kumzuwia Mtani.Mchezaj kasemaje ? let's assume amesain, anataka sepa, mnamzuiaje??
Yes!! Hata na mie nimeliona hilo Mkuu.Kwa hatua iliyofika hapo, Morrison hataki kucheza Yanga, iwe aliongeza mkataba au hakuongeza
Hili swali mnaulizaga Mikia tu. lol.
Hamna pesa, tulieni hivyo hivyo.. msisahau tu kigogo aliwah sema jisiem ni matapeli , na naona hawawaruhusu mkaongea nynyi wenye club yenu wanaongea wao tuHapo hamna cha kumzuwia Mtani.
Kikubwa awe mkweli sasa kwamba kile kishika uchumba kimemchanganya .
Tulia game ni saa moja
Hahahahaaa. lol
Hapo hamna cha kumzuwia Mtani.
Kikubwa awe mkweli sasa kwamba kile kishika uchumba kimemchanganya .
Hahaha sawa.Mtani Msimu huu ndio mwisho wa hizi ramli zenu. 😎
Yes!! Hata na mie nimeliona hilo Mkuu.
Ni vyema akaachwa aje huko kwenu mana naona anazuzua tu watu sababu haiwezekani mtu asaini halafu anahojiwa aseme haja saini ni dhahiri si mkaaji yule .
Hili swali mnaulizaga Mikia tu. lol.
Hao wenye vyeo unaowajua wamefanya kipi? Cha zaidi timu ikawa inajiendesha kwa bakuli.
Reliants Lusajo
Lucas Kikoti
Bigirimana Blaise
Kila lakheri Namungo fc nafasi ya tatu ni yetu.[emoji123]
Shadeeya
Mtani Msimu huu ndio mwisho wa hizi ramli zenu. 😎
Haha nimekumbuka ile taarifa, inasema Yondani agomea mazoezi kisa chai.Hakuna mchezaji anayependa maisha ya kunywa juice ya muwa na chapati asubuhi[emoji23]
Haha nimekumbuka ile taarifa, inasema Yondani agomea mazoezi kisa chai.
Utopolo Mungu anawaona
Hahaha Mkuu samehe hii mutu ya Congo Shadeeya.Amerudi analia eh,huruma unatia huruma[emoji23]
Nani anawavusha? hv huon hawa jamaa wanataka wakimbia? walitafuta kujitangaza kupia nyinyi na wanafanikiwa sana tu, lengo likitimia hamuwaoniMtani Msimu huu ndio mwisho wa hizi ramli zenu. 😎