Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa hatua iliyofika hapo, Morrison hataki kucheza Yanga, iwe aliongeza mkataba au hakuongeza
Yes!! Hata na mie nimeliona hilo Mkuu.

Ni vyema akaachwa aje huko kwenu mana naona anazuzua tu watu sababu haiwezekani mtu asaini halafu anahojiwa aseme haja saini ni dhahiri si mkaaji yule .
 
Back
Top Bottom