GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Washinda ngapi huko?Yanga oyeeeeee
Bwahahahahahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washinda ngapi huko?Yanga oyeeeeee
Bwahahahahahaaa
HahahaNitakukamata kesho@Shadeeya [emoji16]
Hahaha
Hahaha, kuna sehemu nimeona wameandikaMida yake naijua sa ivi kaisusa simu anajifanya anawaza maisha yalivyo magumu na yanga nao hawaeleweki[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, kuna sehemu nimeona wameandika
Corona IPO inaua ,Yanga IPO inakondesha
#chukuatahadhari #stay away
HizohizoooWashinda ngapi huko?
😂😂 Mtani unaongea na simu ama? 😂😂Nitakukamata kesho@Shadeeya [emoji16]
Tumshukuru refa hata kwa kidogo alichotupa maana ilikuwa tuaibike😀🐸🐸😂😂 Mtani unaongea na simu? 😂😂
Ila kanikera sana mie Mnyero mana amenifanya nimekuwa na hasira wakati nilikuwa nataka Yanga afungwe.Tumshukuru refa hata kwa kidogo alichotupa maana ilikuwa tuaibike😀🐸🐸
[emoji23][emoji23] Mtani unaongea na simu ama? [emoji23][emoji23]
La kuvunda halina ubani, 😆😆Pole Bina kabati lisha kuwa tupu...Akwendddrrrreeee zake huko.
*TIMU YOYOTE INAPOCHEZA NA YANGA ILI IJIHAKIKISHIE USHINDI MWAMUZI NI FILIMBI YA MWISHO[emoji4]* _HAPA KUNA WATU WANATAMANI KUBISHA ILA WAKIKUMBUKA GOLI MBILI ZILIRUDI NDANI YA DAKIKA TATU WANABAKI KUSONYA NA KUTEMA MATE TU[emoji848]_Ila kanikera sana mie Mnyero mana amenifanya nimekuwa na hasira wakati nilikuwa nataka Yanga afungwe.
Sasa naambia nini watu leo. Teh teh teh
Heheheheheeeee.[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah!! Binamu. 🤔La kuvunda halina ubani, 😆😆Pole Bina kabati lisha kuwa tupu...
Hahahaa!! Nimecheka lol*TIMU YOYOTE INAPOCHEZA NA YANGA ILI IJIHAKIKISHIE USHINDI MWAMUZI NI FILIMBI YA MWISHO[emoji4]* _HAPA KUNA WATU WANATAMANI KUBISHA ILA WAKIKUMBUKA GOLI MBILI ZILIRUDI NDANI YA DAKIKA TATU WANABAKI KUSONYA NA KUTEMA MATE TU[emoji848]_
Daaah!! Binamu. [emoji848]
Ila msitutambie saaana wakati kwani tunajua mbinu mmetumia kuupata. Lol
Hahahaa!! Nimecheka lol
Hawana hamu. [emoji3]
Tena mnafurahia kutoa sare na timu ya kutoka kijiji cha Ng'apa huko Namungo😂😂😂dah yaani sisi leo tumekuwa wa kufurahia drooo