Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hilo liko wazi kabisa mkuu๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผW/kend ijayo tunatangaza ubingwa kama Liverfool[emoji16]karibu
Hilo liko wazi kabisa mkuu[emoji1360][emoji1360][emoji1360]
Cc Shadeeya ๐๐๐Tuanze kuwapa mialiko
Cc Shadeeya [emoji23][emoji23][emoji23]
we acha mechi ya tatu mfululizo tunatoa sare tena sisi ndio tunarudisha kwa mbinde haya mateso ndugu zangu hayo mabadiliko yaje harakaTena mnafurahia kutoa sare na timu ya kutoka kijiji cha Ng'apa huko Namungo[emoji23][emoji23][emoji23]
cc Shadeeya
Poleni sana mkuu, ndio ukubwa huo lakini. Wakati mwingine changamoto kama hizo ndio zinawapa fundisho la kuchagua viongozi wenye maono na uwezo wa kuwapitisha na kuwavusha kwenye nyakati ngumu kama hiziwe acha mechi ya tatu mfululizo tunatoa sare tena sisi ndio tunarudisha kwa mbinde haya mateso ndugu zangu hayo mabadiliko yaje haraka
Lazima tufurahi kwani sisi ni mashujaa kwa kutoka sare na Namungo,Simba na TFFTena mnafurahia kutoa sare na timu ya kutoka kijiji cha Ng'apa huko Namungo[emoji23][emoji23][emoji23]
cc Shadeeya
Hongereni japo msubiri aibu huko CAF.W/kend ijayo tunatangaza ubingwa kama Liverfool[emoji16]karibu
Dua la kuku siku zote halimpati mwewe ShadeeyaHongereni japo msubiri aibu huko CAF.
Tano tano tunazisubiria. Teh teh
Mlitaka tufanyeje Mtani?Maisha yamebadilika sana,siku izi mnafurahia kutoka suluhu[emoji15]
Unadhania kitatokea kipi cha ajabu wakati zile njama zenu za kupuliza Dawa vyumbani zilishagutukiwa. ๐Dua la kuku siku zote halimpati mwewe Shadeeya
Mbona nyie mnapitisha miamala kwa wahusika mpira uchezwe dakika 100 ili msawazishe goli hatusemiii๐๐๐Unadhania kitatokea kipi cha ajabu wakati zile njama zenu za kupuliza Dawa vyumbani zilishagutukiwa. ๐
Doooh!!!Mbona nyie mnapitisha miamala kwa wahusika mpira uchezwe dakika 100 ili msawazishe goli hatusemiii๐๐๐
Doooh!!!
๐๐๐ Kumekucha Mtani.Ivi sasa ni saa 05:22[emoji16]
Mpira hata ukiongezwa dakika 1000 huwezi kulalamika kwa sababu inakuwa nafasi ya kufunga kwa timu zote. Kwa mfano ingekuwa 3-1Mbona nyie mnapitisha miamala kwa wahusika mpira uchezwe dakika 100 ili msawazishe goli hatusemiii๐๐๐