Nimekupa like. πDe Mkunungu 1 - 2 Ndanda
DK 15
Sijui Metacha ana shida gani leo?
Aaah Shadeeya tutashinda tu muda bado sana.Mtani we ndio unatuchawia ππ
Labda za Mikia. ππππhii yanga hii, itang'oa roho za watu[emoji23]
Hahahaa. Ndio tunashinda leo. πAaah Shadeeya tutashinda tu muda bado sana.
Hupaswi kukata tamaa Shadeeya.Hatujakata tamaa bado. ππ
Kaka nilivyoona likes za kucheka tu nkajua tayari ushalog in ili uje kutucheka. Lol.Jamani nawasalimia..
huyu yanga wamuache....hiyo nafasi ya shikalo wasajili mchezaji wa nje anayeweza saidia timu siyo golikipa, magolikipa bongo wapo kibao wenye viwango, mfano yule wa coast union..Huyu Shikalo naye. [emoji17][emoji17][emoji17]
Na sijawahi kata tamaa. Teh tehHupaswi kukata tamaa Shadeeya.
Sawa shurukaniπNimekupa like. π
Hakika na huyu Shikalo tangia arudi toka Mombasa amenenepa kimtindo.huyu yanga wamuache....hiyo nafasi ya shikalo wasajili mchezaji wa nje anayewezaisaidia timu siyo golikipa, magolikipa bongo wapo kibao wenye viwango, mfano yule wa coast union..
ππππ€π€π€
Najua ni wakati gani tutasikia eti TANESCO wamezingua huko kwa hiyo hujaangalia magoli mnayofungwa nyieNimechoka Mtani kila siku holla. Leo nachekia home aisee. πππ
Nlivyoona foul ingine nkajua wanapata la tatu. ππππππππ