Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Vipi lakini umema maana TANESCO wana makusudi sana aiseeππππHatujakata tamaa bado. ππ
πππ Leo umeme upo πππNajua ni wakati gani tutasikia eti TANESCO wamezingua huko kwa hiyo hujaangalia magoli mnayofungwa nyie
Msijali game yenu hii mtashinda...βNlivyoona foul ingine nkajua wanapata la tatu. πππππ
Mpaka sasa wamenivumilia. πππVipi lakini umema maana TANESCO wana makusudi sana aiseeππππ
Eti eee? ππMsijali game yenu hii mtashinda...β
Tusubiri Ndanda wafanye yao lugha itabadilika hiyo na utawasingizia Tanesco wawatuππππππ Leo umeme upo πππ
Na leo TANESCO wamesema hawakati umeme mpaka Shadeeya ashuhudie wanavyosulubiwa.Najua ni wakati gani tutasikia eti TANESCO wamezingua huko kwa hiyo hujaangalia magoli mnayofungwa nyie
Naam dada ngapngapHatushindi njaa Mdogo wangu mana tayari tushamnywesha kimoja huko.
Tena tutamtafutia standby generator akose sababuNa leo TANESCO wamesema hawakati umeme mpaka Shadeeya ashuhudie wanavyosulubiwa.
2 kwa 2Naam dada ngapngap
Hahahahahaa!! LolTusubiri Ndanda wafanye yao lugha itabadilika hiyo na utawasingizia Tanesco wawatuπππ
ππTena tutamtafutia standby generator akose sababu
Wetu hawa Mkuu.
Mikia leo hawajaanzisha uzi lol.
Ndio ndio.De Mkunungu 3 - 2 Ndanda
DK 73
Hizi Updates uwe unazileta hadi kwenye zile nyuzi wanaanzisha mikia wenzio Mtani. πππDe Mkunungu 3 - 2 Ndanda
DK 73
Leo mnacheza netball naona...Mikia leo hawajaanzisha uzi lol.
Mana huwa wana vimbelembele. πππ Wamejua kuotea.