Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Bora umwambie ndugu yako Shadeeya kua timu yenu inayumba maana yeye wala haelewi kwa jinsi anavyoitetea!!! Tena leo mabingwa wa nchi washajulikana mjipange tu kwa msimu ujaoMy God, kidogo nilie jamani [emoji24][emoji24]
Majukumu yamenizidi dada yako, niko busy mpaka naumwa!
Nitajitahidi walau niungane nanyi katika mechi kadhaa live... tatizo timu yetu nayo pasua kichwa basi morali inashuka!
Asante kwa kunikumbuka [emoji3590][emoji1488]
Cc Shadeeya kidunula1 Joseverest na wengine kibaoWe are the champions.
Simba nguvu moja๐ช๐ฏ๐ฏ
๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
Sisi tunaombea walau tukutane na ninyi kwenye FA tutapata mteremko mana ninyi ni vibonde wetuBado kombe la FA nyie Mkunungu, safari hii hatuachi kitu.
Simba nguvu moja
Usijali Dada wa mie kikubwa uzima upo.My God, kidogo nilie jamani [emoji24][emoji24]
Majukumu yamenizidi dada yako, niko busy mpaka naumwa!
Nitajitahidi walau niungane nanyi katika mechi kadhaa live... tatizo timu yetu nayo pasua kichwa basi morali inashuka!
Asante kwa kunikumbuka [emoji3590][emoji1488]
Hahahaaaa. Wakati wenu Mtani huu. unadhani!!TAARIFA KUTOKA BODI YA WAKURUGENZI WA SIMBA SC.
KAMATI MBALIMBALI ZA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA SC.
1.Ulinzi---JKT RUVU & TZ PRISONS
2.Mapambo --MBEYA CITY & KMC
3.Vinywaji---AZAM FC
4.Chai--MTIBWA & KAGERA SUGAR
5.Usafiri--SPENDI UNITED
6.Kuni--MBAO FC
7.Mziki--NAMUNGO
8.Usafiri---ALLIANCE
9.Kuosha vyombo kama Masufuria na Masahani,Kusafisha meza,Kutoa vyombo mezani,Kutoa na huduma kwa wage ni waalikuwa # YANGA ----Hawa wake mapema sana na kama ikibidi walale Eneo la tukio maana sare zao zipo tayari.
10.Mc--- MASAU BWIRE.
Sawa. H o n g e r a.We are the champions.
Simba nguvu moja๐ช๐ฏ๐ฏ
๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
Hahahahaaa. Nimecheka. Lol.Bado kombe la FA nyie Mkunungu, safari hii hatuachi kitu.
Simba nguvu moja
Na wanalijua hilo. Hapo mioyoni mwao waombea wafungwe na Azam.Sisi tunaombea walau tukutane na ninyi kwenye FA tutapata mteremko mana ninyi ni vibonde wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Mtani na ubingwa wenu wa magumashi. ๐๐Shadeeya Najua Roho inakuuma sana ndiyo hivyo tena unafanyaje sasaView attachment 1491736
Ndio sisi wana Yanga kindakindaki.
Mwaka huu hatunywi maji.Ikikukera na tuma tena View attachment 1491735