Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

My God, kidogo nilie jamani [emoji24][emoji24]
Majukumu yamenizidi dada yako, niko busy mpaka naumwa!
Nitajitahidi walau niungane nanyi katika mechi kadhaa live... tatizo timu yetu nayo pasua kichwa basi morali inashuka!
Asante kwa kunikumbuka [emoji3590][emoji1488]
Bora umwambie ndugu yako Shadeeya kua timu yenu inayumba maana yeye wala haelewi kwa jinsi anavyoitetea!!! Tena leo mabingwa wa nchi washajulikana mjipange tu kwa msimu ujao
 
Ikikukera na tuma tena
IMG_20200629_003028.jpeg
 
My God, kidogo nilie jamani [emoji24][emoji24]
Majukumu yamenizidi dada yako, niko busy mpaka naumwa!
Nitajitahidi walau niungane nanyi katika mechi kadhaa live... tatizo timu yetu nayo pasua kichwa basi morali inashuka!
Asante kwa kunikumbuka [emoji3590][emoji1488]
Usijali Dada wa mie kikubwa uzima upo.

Aaah!! Hii timu yetu inabidi kwenda nayo tu hivyo hivyo hamna jinsi mana tulishaichagua.

🙏🙏 Karibu 🤝.
 
TAARIFA KUTOKA BODI YA WAKURUGENZI WA SIMBA SC.

KAMATI MBALIMBALI ZA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA SC.

1.Ulinzi---JKT RUVU & TZ PRISONS
2.Mapambo --MBEYA CITY & KMC
3.Vinywaji---AZAM FC
4.Chai--MTIBWA & KAGERA SUGAR
5.Usafiri--SPENDI UNITED
6.Kuni--MBAO FC
7.Mziki--NAMUNGO
8.Usafiri---ALLIANCE

9.Kuosha vyombo kama Masufuria na Masahani,Kusafisha meza,Kutoa vyombo mezani,Kutoa na huduma kwa wage ni waalikuwa # YANGA ----Hawa wake mapema sana na kama ikibidi walale Eneo la tukio maana sare zao zipo tayari.

10.Mc--- MASAU BWIRE.
Hahahaaaa. Wakati wenu Mtani huu. unadhani!!
 
Back
Top Bottom