SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jamal Malinzi si ametoka jela, muiteni awabebe tena, vyura zenu keleke tuLakini mbumbumbu wao wako huru kufanya watakachoView attachment 1496900
Hahahahaaa. Tatizo mdomo bro. ๐๐๐Sasa yote haya ya nini hadi kujibanza na kujificha nyuma ya semi trailer? Najua lengo lao tusiwaone walivyokuwa mbumbumbu wakajua hatutawaona kwa sababu wamejibanza kwenye migari mikubwa mikubwa
Kawadanganye watoto weweee.Vijana wamechoka kupanda ndenge Wanataka usafili wa bus
๐๐๐๐Mbona nyie yule mpigwa bomba a.k.a tako moja kawashikilia akili hatusemi?
Ubingwa wenyewe waliandaliwa mapema tu unategemea nini?Watoto wa karia haoView attachment 1496902
Acheni visingizio Utopolo nyie timu yenu mbovu mmepoteza points nyingi kwa uzembe wenu wenyewe halafu mnatafuta mchawi hahaaa.Ubingwa wenyewe waliandaliwa mapema tu unategemea nini?
Umeona?Kawadanganye watoto weweee.
Mkuu ungewawekea kabisa na msimamo wa Ligi ulivyo sasa hivi maana Shadeeya and company hawakawii kubisha kua Lunyasi ndio Machampioni wa TPL kwa mwaka wa tatu mfululizo, tena wakiwa na mechi TANO mkononi๐๐๐Kama Mzalendo wa kweli nawapa pole na jinamizi la droo..
Shadeeya Hata ukinuna ushindi tusha chukua.. View attachment 1498642
Huyo ulie mtaja ni Binamu yangu wa damu lkn mkaidi kama kazaliwa nchi jirani๐๐Mkuu ungewawekea kabisa na msimamo wa Ligi ulivyo sasa hivi maana Shadeeya and company hawakawii kubisha kua Lunyasi ndio Machampioni wa TPL kwa mwaka wa tatu mfululizo, tena wakiwa na mechi TANO mkononi๐๐๐
Hahahaaaa. LolHuyo ulie mtaja ni Binamu yangu wa damu lkn mkaidi kama kazaliwa nchi jirani๐๐