Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
kaka watu wamehamasishwa...............
I bet no!
Huu utaratibu ni wa Ulaya zaidi, huku kwetu inabidi watu wajuzwe kabla ya kuutekeleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka watu wamehamasishwa...............
Hivi hy matangazo ya clouds yaliandaliwa ki-akili kweli?? Dk 10 mwape kafunga goli??
Mechi leo inatangazwa Live na Clouds FM
Asante mkuu, nimetune TBC bila bila.Mechi leo inatangazwa Live na Clouds FM
Shabiki za kwetu pumbafu kabisa. Watu wako kimya kukumbuka marehemu, wao wanapuliza vuvuzela. Jinga kabisa...
Nsajigwa booked, foul against the Egyptian.
tatizo caf ipo kwao vumilia tu...
Huyu Asamoah hovyo kabisa...
Tunashambuliwa................Hali ni tete