Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

asante kwa kulitambua hilo mkuu batalanda BTW hongera na happy birthday..
Asante sana mkuu....Jaa Azam walitawla sana kiungo.....Mwinyi Kazimoto alifichwa sana....Dogo Salum Aboubakari 'Sure Boy' anatisha alimiliki kiungo kama chake.....Simba wamshukuru sana Shomari Kapombe hiyo jana
 
Papic ni ngumu kuwapiga benchi Mwape na Asamoah hata kama wataharibu bse yeye ndo alowaleta. Itakuwa aibu kwake kuwa kaleta magalasa.

Haya tushaanza kumkumbuka Timbe ilhali tumemtoa si kistaarabu kwa kweli! Very bad.
 
Asante sana mkuu....Jaa Azam walitawla sana kiungo.....Mwinyi Kazimoto alifichwa sana....Dogo Salum Aboubakari 'Sure Boy' anatisha alimiliki kiungo kama chake.....Simba wamshukuru sana Shomari Kapombe hiyo jana
Ni kweli kiongozi, leo nimeona marudio kupitia ITV nikasikitika; sijui hawa makocha weupe tunawapenda nini kuwakabizi, hakika hawana cha ziada ktk timu zetu.
 
Yanga tayari wamerudi kileleni(kwa head to jead ya magoli ya kufunga).....
Balatanda: hapo hakuna cha head to head, goals difference Simba ina 17 na Yanga 16. Yanga ingeshinda 2-0 ndo ingeendelea kukaa kileleni.
 
Kwa kweli kila la heri chama lenu, ila nasikitika tiketi zetu watu wa chini zimeisha haraka sana nilitaka kesho nikawaunge mkono watani zetu, hivi kuna TV yoyote itaonyesha hiyo kesho.
 
Hii hali haifai kabisa, haiwezekani tiketi za bei ya chini ziwe zimeisha! HUJUMA!!
 
Kikosi chetu na Zamalek leo hiki hapa:

1.Shaban Hassan Kado - 1
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Nadir Haroub Cannavaro - 23
5.Athuman Iddy Chuji - 18
6.Juma Seif Kijiko - 29
7.Omega Seme - 9
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Davies Mwape - 28
10.Kenneth Asamaoh - 26
11.Hamis Kiiza -20

Substitutes:
1.Said Mohamed -30
2.Oscar Joshua - 4
3.Chacha Marwa - 24
4.Kiggi Makasy - 7
5.Shamte Ally - 15
6.Pius Kisambale - 11
7.Jeryson Tegete - 10

Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi wataalamu Pius Kisambale na Shamte Ally......Hawa ni wazuri sana ukilinganisha na Mwape na Asamoah.....Huyo Asamoah mechi iliyopita na Ruvu Shooting alikuwa anakimbia uwanjani hovyo tu.....

Sina imani kabisa na kikosi chetu hiki cha leo...Shadrack Nsajigwa!!!!.................Mmmmmmmmmmh

Halafu pale nyuma huyo Chuji ni mzito sijapata kuona...
 
Kikosi chetu na Zamalek leo hiki hapa:

1.Shaban Hassan Kad - 1

Kipute kunaonyeshwa kwenye channel gani mkuu
 
Kimya cha dakika moja kuwakumbuka mashabiki waliofariki huko Misri.
 
Shabiki za kwetu pumbafu kabisa. Watu wako kimya kukumbuka marehemu, wao wanapuliza vuvuzela. Jinga kabisa...
 
Kikosi chetu na Zamalek leo hiki hapa:

1.Shaban Hassan Kado - 1
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Nadir Haroub Cannavaro - 23
5.Athuman Iddy Chuji - 18
6.Juma Seif Kijiko - 29
7.Omega Seme - 9
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Davies Mwape - 28
10.Kenneth Asamaoh - 26
11.Hamis Kiiza -20

Substitutes:
1.Said Mohamed -30
2.Oscar Joshua - 4
3.Chacha Marwa - 24
4.Kiggi Makasy - 7
5.Shamte Ally - 15
6.Pius Kisambale - 11
7.Jeryson Tegete - 10

Sijui ni kwa nini Papic anawaweka benchi wataalamu Pius Kisambale na Shamte Ally......Hawa ni wazuri sana ukilinganisha na Mwape na Asamoah.....Huyo Asamoah mechi iliyopita na Ruvu Shooting alikuwa anakimbia uwanjani hovyo tu.....

Sina imani kabisa na kikosi chetu hiki cha leo...Shadrack Nsajigwa!!!!.................Mmmmmmmmmmh

Halafu pale nyuma huyo Chuji ni mzito sijapata kuona...

Mwape, Asamoah, Kiiza ndani kwa wakati mmoja? Nani ataingia kubadili mchezo pale mbele hali ikihitaji hivyo?
 
Mwape, Asamoah, Kiiza ndani kwa wakati mmoja? Nani ataingia kubadili mchezo pale mbele hali ikihitaji hivyo?
Mwape na Asamoah hawafai mkuu....Bora angewachezesha Shamte,Kisambale ama Tegete.....

Huyu kocha wetu naye ni garasa kama walivyo Mwape na Asamoah......Fikiria mtaalamu wa kubadilisha mchezo Rashid Gumbo 'Fundi' hayupo hata kwenye orodha iliyotumwa CAF kwa ajili ya CL........Si uendawazimu huu!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom