Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

View attachment 1501590KINACHOFUATA NI KUWAHARIBIA SIKU MBUMBUMBU FC WATAFUTANE.
Dada Shadeeya mm sina raha kabsaaa nikipita huku mara Tshishimbi hatakuwepo nikija huku Niyonzima na Juma Abdul nao huenda wasiwepo Balama ndio confirmed kabisa kwamba hatakuwepo kuna taarifa zozote njema au ndio ibaki hivyohivyo kiukweli km hao jamaa hawatawepo pale kati imani yangu ndogo sana makame na fey wana utoto mwingi sana itatugharimu!
 
Daah!! Usikose raha mdogo wangu.

Mpaka sasa sijapata taarifa bado aisee mana na mie mwenyewe nakuwa na hofu mbaya japo inabidi tu tukubaliane na hali mana ndio kikosi chetu hicho.

Makame huwa simwamini kabisaa kwani anafanyaga rafu za kijinga halafu mara kwa mara.
 
Hahahahaaaaaaaa kumbe Utopolo mnamwogopa Mnyama kiasi hiki hahaaa.

Simba nguvu moja
 
'Allah yaalam' tusichokitarajia chaweza kutokea hii ni derby wachezaji wa kawaida huja kuwa lulu kwa mechi moja tu kama hii tuwe na subra naamini benchi la ufundi watajua nini cha kufanya in Shaa Allah!
 
Hahahahaaaaaaaa kumbe Utopolo mnamwogopa Mnyama kiasi hiki hahaaa.

Simba nguvu moja
Sio kuogopa labda km wewe si mtu wa mpira hv kwa mfano pale kwenu aumie chama aumie mkude aumie boco utakuwa na amani? Juzi hp kaumia kapombe tu mishipa ya matako imewasimama mitandao yote ilichafuka tuwekeeni yule haruna shamte sasa ndio utajua maana ya mchezaji tegemeo!
 
'Allah yaalam' tusichokitarajia chaweza kutokea hii ni derby wachezaji wa kawaida huja kuwa lulu kwa mechi moja tu kama hii tuwe na subra naamini benchi la ufundi watajua nini cha kufanya in Shaa Allah!
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…