Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Dada Shadeeya mm sina raha kabsaaa nikipita huku mara Tshishimbi hatakuwepo nikija huku Niyonzima na Juma Abdul nao huenda wasiwepo Balama ndio confirmed kabisa kwamba hatakuwepo kuna taarifa zozote njema au ndio ibaki hivyohivyo kiukweli km hao jamaa hawatawepo pale kati imani yangu ndogo sana makame na fey wana utoto mwingi sana itatugharimu!View attachment 1501590KINACHOFUATA NI KUWAHARIBIA SIKU MBUMBUMBU FC WATAFUTANE.