kaka watu wamehamasishwa...............
Hivi hy matangazo ya clouds yaliandaliwa ki-akili kweli?? Dk 10 mwape kafunga goli??
Mechi leo inatangazwa Live na Clouds FM
Asante mkuu, nimetune TBC bila bila.Mechi leo inatangazwa Live na Clouds FM
Shabiki za kwetu pumbafu kabisa. Watu wako kimya kukumbuka marehemu, wao wanapuliza vuvuzela. Jinga kabisa...
Nsajigwa booked, foul against the Egyptian.
tatizo caf ipo kwao vumilia tu...
Huyu Asamoah hovyo kabisa...
Tunashambuliwa................Hali ni tete