joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
How many times your boy screwed you today?Naulizs tu Marehemu anasafirishwa au anazikiwa hapa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How many times your boy screwed you today?Naulizs tu Marehemu anasafirishwa au anazikiwa hapa hapa
Uongozi wa club ya Simba unawaomba radhi mashabiki kwa ushindi mwembamba walioupata dhidi ya Yanga.
Simba nguvu moja
Shadeeya
Ama kweli ushindi Mtamu mana hadi umeandika kingeredha leo.
KweeendddraaaaaNaulizs tu Marehemu anasafirishwa au anazikiwa hapa hapa
Mtani umeona ukiandika moja haitoshi? 😳4G
4G
4G
4G
4G
Kuna watu wanashauri Morison aachwe. Hivyo ndivyo mbumbumbu wanataka. Kwani wao ndio walimtuma afanye utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango ili tuchukie tumuache.Sawa bana.
Nawaza tu Mkuu wanaeza muweka benchi kwa Kikosi chetu kile?Kuna watu wanashauri Morison aachwe. Hivyo ndivyo mbumbumbu wanataka. Kwani wao ndio walimtuma afanye utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango ili tuchukie tumuache.
Dawa ni kukomaa nae halafu apigwe Bench muda wote wa mkataba ili mbumbumbu wakimchukua wafaidi
Mkuu umeiva ktk kuchambua, short and clear,, umeeleweka vyema,, kuna mwenzio mmoja jana nlimwambia ktk uzi wetu wa msimbaz kuwa mbona mmejiachia sana,, kwa hekma hakujibu kitu nadhani pia aliona list yenu haiko poa,, jumla ya yote huo ndio mpira, mchezo wa makosa na mwenzio anakuadhibu,, jana simba tulijituma hata tunapopoteza mpira unaona wanakuwa fasta kuutafuta,, nihitimishe tu kuwa huu mwaka wetu,[emoji23]Hongera sana mtani ndio mpira wana yanga kosa la kwanza ni kulazimisha mtu aliyetoka majeruhi na hana match fitness acheze(mimi mmoja wapo niliomba sana Papy acheze) kingine kocha kutoona tatzo upande wa kushoto jafary hakuwa vzr leo Simba tu hawakuwa makini ule upande tungekula hata goli 3 kutokea kule tu peke yake kitu kingine kutuwekea molinga pale mbele hakuwa na msaada wowote derby inataka twende wote turudi wote timu ikiwa haina mpira molinga anakuwa hana msaada hakabi yote kwa yote hongera tena mtani wanayanga tusivunjike moyo ndio mpira leo unacheka kesho unalia huu ni mwaka wao tujipange msimu ujao in Shaa Allah!
Shida ya Morrison inaanzia nje ya uwanja, effect zake zinajitokeza hadi ndani ya uwanja,,Jaffary, Tshishimbi, Morrison na Niyonzima leo mechi iliwakataa kabisa Tena mapema tu Tshishimbi siku zote akiwa On Fire Chama huwa anpotezwa sana Sana, leo Tshishimbi katoboka mapema sana Fraga akafanya kazi ya kiume pale katitaki tukapoteana Chama akapata space ya kucheza atakavyo, Molinga akatukaba sisi zaidi kuliko kusaidia hata kukaba Simba akawapa Uhuru Beki za Simba mchezo ukawa mwepesi Sana..
Najiuliza Sana kwann Jaffary kacheza dk zote 90!! Na mwenzie Molinga Mara 1000 hata angepangwa mbele ngassa lakini sio Molinga, Fei Toto leo kaupiga Mpira haswa kazunguka Sana bahati mbaya hata Bao alilofunga na uzuri wake n kama kajamba NDANI ya maji hakuna kelele Wala harufu ya ushuzi kabisa...
Tunahitaji Overhaul kubwa Sana kikosini mwetu, MORRISON alichokifanya leo Uongozi kwa busara tu Tuachane nae kabisa!!!?
Ndiyo uwezo wao uliishia hapo hapoDanh hakuna kitu kimeniuma kama ile assist ya Tshishimbi. Si bora angedaka kama Suarez tu tujue moja, makosa binafsi ya wachezaji yametugharimu sana, kweli simba angetufunga lakini sio hizi goli nne, assist ya Tshishimbi, na ile rebound ya Kagere magoli ya kibwege kabisa
Bora ndio iwe imeisha hiyo tu tujipange mwakani kwa usajili mzuri, Namungo ashinde zake Fa akawakilishe nchi, hii kugombea tiketi nafasi ya pili na kuomba simba achukue fa huko tutakula nyingi kuliko hata goli za mkia.
+Daima mbele nyuma mwiko.
Tunawachezaji watano wenye kiwango kikubwa kuliko Morisson sasa sisi huyo Morison wa nini ?Kuna watu wanashauri Morison aachwe. Hivyo ndivyo mbumbumbu wanataka. Kwani wao ndio walimtuma afanye utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango ili tuchukie tumuache.
Dawa ni kukomaa nae halafu apigwe Bench muda wote wa mkataba ili mbumbumbu wakimchukua wafaidi