Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Huyu Morrison kama kuuzwa auzwe nje ya nchi, vinginevyo ni kupigwa benchi mpaka arudi kwenye kazi yake ya zamani ya wizi wa magari [emoji1]
Kuna watu wanashauri Morison aachwe. Hivyo ndivyo mbumbumbu wanataka. Kwani wao ndio walimtuma afanye utovu wa nidhamu na kucheza chini ya kiwango ili tuchukie tumuache.
Dawa ni kukomaa nae halafu apigwe Bench muda wote wa mkataba ili mbumbumbu wakimchukua wafaidi