Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ushamba na upuuzi wa Vionhozi ndo Yanga unatufikisha hapa...
...Jaffary na shishimbi,Walipotea mapema sana....Ajabu eti wanarudi second half....

Binafsi kama kama Yanga Die...nimepokea kipigo hiki kwa Furaha sana...kwani kwa Uchezaji ule...goal 4 ni chache sana....Simba nao Hawakuwa Serious....nilikuwa naziona 5+ pale(clear)no Dauti,

......Kwa Team ile then ndo ubataka kushiriki kimataifa?Tubadilike jamani...mpira ni science na si Ujanja ujanja.

Hakika tumevuna tulichopanda.
 
Jaffary, Tshishimbi, Morrison na Niyonzima leo mechi iliwakataa kabisa Tena mapema tu Tshishimbi siku zote akiwa On Fire Chama huwa anpotezwa sana Sana, leo Tshishimbi katoboka mapema sana Fraga akafanya kazi ya kiume pale katitaki tukapoteana Chama akapata space ya kucheza atakavyo, Molinga akatukaba sisi zaidi kuliko kusaidia hata kukaba Simba akawapa Uhuru Beki za Simba mchezo ukawa mwepesi Sana..


Najiuliza Sana kwann Jaffary kacheza dk zote 90!! Na mwenzie Molinga Mara 1000 hata angepangwa mbele ngassa lakini sio Molinga, Fei Toto leo kaupiga Mpira haswa kazunguka Sana bahati mbaya hata Bao alilofunga na uzuri wake n kama kajamba NDANI ya maji hakuna kelele Wala harufu ya ushuzi kabisa...


Tunahitaji Overhaul kubwa Sana kikosini mwetu, MORRISON alichokifanya leo Uongozi kwa busara tu Tuachane nae kabisa!!!?
 
Nawaza tu Mkuu wanaeza muweka benchi kwa Kikosi chetu kile?

Nadhani kumwacha ndo suluhu mana anatuchosha ujue Mkuu.
 
Mkuu umeiva ktk kuchambua, short and clear,, umeeleweka vyema,, kuna mwenzio mmoja jana nlimwambia ktk uzi wetu wa msimbaz kuwa mbona mmejiachia sana,, kwa hekma hakujibu kitu nadhani pia aliona list yenu haiko poa,, jumla ya yote huo ndio mpira, mchezo wa makosa na mwenzio anakuadhibu,, jana simba tulijituma hata tunapopoteza mpira unaona wanakuwa fasta kuutafuta,, nihitimishe tu kuwa huu mwaka wetu,[emoji23]
 
Shida ya Morrison inaanzia nje ya uwanja, effect zake zinajitokeza hadi ndani ya uwanja,,

Hii mikataba mingine tatizo kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Danh hakuna kitu kimeniuma kama ile assist ya Tshishimbi. Si bora angedaka kama Suarez tu tujue moja, makosa binafsi ya wachezaji yametugharimu sana, kweli simba angetufunga lakini sio hizi goli nne, assist ya Tshishimbi, na ile rebound ya Kagere magoli ya kibwege kabisa
Bora ndio iwe imeisha hiyo tu tujipange mwakani kwa usajili mzuri, Namungo ashinde zake Fa akawakilishe nchi, hii kugombea tiketi nafasi ya pili na kuomba simba achukue fa huko tutakula nyingi kuliko hata goli za mkia.

+Daima mbele nyuma mwiko.
 
Maskini Shadeeya laah

Pole sana mtani tulitaka tuwabutue kibabe hivyo hivyo mpunguze kidomodomo chenu cha goal la Morrison.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo uwezo wao uliishia hapo hapo
 
Tunawachezaji watano wenye kiwango kikubwa kuliko Morisson sasa sisi huyo Morison wa nini ?

Kubalini tu tumewabutua kizazi sana maana mlikuwa mmevuka mipaka kwa shobo kisa kagoli kamoja kakubahatisha.

Na mnabahati sana tuliwahurumia mashabiki wenu waliokuwa wanaanguka uwanjani kama wamepatwa degedege tungewatandika hata goli saba ili mrudishe adabu.

Next time mkileta kimdomodomo mtachapika mpaka mchakae, mnaleta mchezo kwa mabingwa wa nchi nyie ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…