Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu Morrison kama kuuzwa auzwe nje ya nchi, vinginevyo ni kupigwa benchi mpaka arudi kwenye kazi yake ya zamani ya wizi wa magari [emoji1]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hata Simba akishinda FA bado namungo atawakilisha nchi. Nyie kakamilisheni ratiba ya ligi tu, hamna pakwenda.
 
Nawaza tu Mkuu wanaeza muweka benchi kwa Kikosi chetu kile?

Nadhani kumwacha ndo suluhu mana anatuchosha ujue Mkuu.
Hatuna cha kupoteza. Ni bora tushike nafasi ya nne lakini sio kumuendekeza yule muhuni.
Pia tukimuacha mbumbumbu watatuzoea. Na wachezaji wengine wataiga mbinu hiyo. Hakuna kumuacha. Na hakuna Kucheza. Tuone baada ya miaka miwili kama barakoa fc watamtaka tena. Na hakuna mchezaji atakae thubutu kutumia njia hiyo tena.

Kuhusu msimu ujao,tutaimarisha timu yetu. Lakini lazima tutoe funzo
 
Alisikika mdau lialia[emoji23] wa uto akilalamika,

 
Morison ni mchezaji wa Ajabu sana mara nyingi huwa nalala nae chumba kimoja.Ila mambo anayoifanya yanaogopesha unaweza ukashtuka usiku ukakuta amekaa anakucheki.
" Said Juma Makapu"
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
 
Morison ni mchezaji wa Ajabu sana mara nyingi huwa nalala nae chumba kimoja.Ila mambo anayoifanya yanaogopesha unaweza ukashtuka usiku ukakuta amekaa anakucheki.
" Said Juma Makapu"
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Nasikia kuna siku jamaa kastuka usiku kamkuta mjamaa unavaa condom[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mmh unayo jeuri hiyo kulipa usd 4000 mtu yuko benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…