The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
This made my day.. Ngoja ni i save kabisa kwa ajili ya matumizi ya baadaye. [emoji23]Mikia bwanaView attachment 1507799
Ha ha haMikia bwanaView attachment 1507799
De Mkunungu kashinda 3 kwa 1.
Mlijua kuota jana mana hamkuwa hata na kelele.Ukiwaangalia Singida United wanavyopanga mashambulizi vizuri unaweza kusema wao ndio Yanga.
Kwani tuna cha kupoteza? na kama kipo kitaje.Mlijua kuota jana mana hamkuwa hata na kelele.
View attachment 1509106
#Utetezihatunachakupoteza. Lol
Kwani tuna cha kupoteza? na kama kipo kitaje.
Simba nguvu moja
Na tshishimbi mkuu?Yanga achaneni na wachezaji Wa nje, kuna wachezaji wengi Wa ndani wazuri sana. Hao Wa nje watawasumbua sana.
Mbakizeni Niyonzima na Lamine, wengine wote timua, hata wakitaka kwenda Simba waacheni waende wakakalie benchi
Huyu naye kiwango chake hakieleweki. Hana consistencyNa tshishimbi mkuu?
Bado eti. 🤔🤔Ila jamaa yenu tumemchapa milion 173 na bonge la nyumba hii habari haijakufikia kwani
😀Ni kawaida kwa timu ndogo kuzikamia timu kubwa na kubanjuliwa na timu ndogo nyenzie. Jana ilijidhihirisha walitukamia mwisho walipokutana na mwenzao wakampa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeongea kwa mikonoBado eti. í ¾í´í ¾í´
Mchezaji gani huyo?
Niliwahi kuliwazaga hili Mkuu japo wajua tena viongozi wao ndio wenye maamuzi.Yanga achaneni na wachezaji Wa nje, kuna wachezaji wengi Wa ndani wazuri sana. Hao Wa nje watawasumbua sana.
Mbakizeni Niyonzima na Lamine, wengine wote timua, hata wakitaka kwenda Simba waacheni waende wakakalie benchi
Mtani unaniacha bana. 🙁Anayeongea kwa mikono
Mo kamfuata Mo mwenzieMtani unaniacha bana. 🙁
Nshamjua sasa. lol.Mo kamfuata Mo mwenzie