Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

hali ilivyo kwa sasa
IMG-20200629-WA0011.jpg
 
Yanga achaneni na wachezaji Wa nje, kuna wachezaji wengi Wa ndani wazuri sana. Hao Wa nje watawasumbua sana.

Mbakizeni Niyonzima na Lamine, wengine wote timua, hata wakitaka kwenda Simba waacheni waende wakakalie benchi
 
Na tshishimbi mkuu?
 
Niliwahi kuliwazaga hili Mkuu japo wajua tena viongozi wao ndio wenye maamuzi.

Mana kama hela tulizomaliza kuwachukua kina Yikpe naimani humu Tanzania tungepata wachezaji bora zaidi ya hao.

Wana kauli yao kwamba wachezaji wa ndani sio wazuri kwenye mechi za kimataifa.
 
Back
Top Bottom