Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Najua hamuezi usahau ule mkuki.

Na ndio sababu saa hii ukiulizwa mechi ya mwisho VPL kati ya Simba na Yanga ilikuwaje ni lazima museme tulipokea mkuki mmoja wa sumu.
Mimi sitaki kujua huo mkuki wa sumu ulimchoma nani na ni wapi? Nataka kujua ulipo tu kwa sasa๐Ÿ˜œ
Mkuki wa sumu umebadili uelekeo na sasa unawachoma wenyewe.

Wape Salaaaaam
 
[emoji23][emoji23] Najua hamuezi usahau ule mkuki.

Na ndio sababu saa hii ukiulizwa mechi ya mwisho VPL kati ya Simba na Yanga ilikuwaje ni lazima museme tulipokea mkuki mmoja wa sumu.
Kwahiyo kila tar 8 birthday zinaendelea, na zile 4g zinawekwa kapuni?
Hakiki aliyeipa Yanga jina la Utopolo alitumwa na Mungu, yaani linasadifu akili na upeo wa mashabiki wake,

Utopolo kama Utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kila tar 8 birthday zinaendelea, na zile 4g zinawekwa kapuni?
Hakiki aliyeipa Yanga jina la Utopolo alitumwa na Mungu, yaani linasadifu akili na upeo wa mashabiki wake,

Utopolo kama Utopolo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kazungumzia Birthday hapa?

Wewe ndio MBUMBUMBU ambaye unaonyesha dhahiri hata hujui Yanga alifungwa na Simba katika mechi ya Kombe gani.

VPL na ASFC ni vitu viwili tofauti weweee.

Tukizungumzia mechi ya mwisho ya VPL dhidi ya Yanga wewe ndio ulichomwa Mkuki mmoja mmoja wa sumu tena mbele ya mapresidaa 3. Teh teh.
 
Wachezaji 21 Yanga wazifuata Mtibwa Sugar, Lipuli

Kikosi cha wachezaji 21 na viongozi 10 cha Timu ya Wananchi kiliondoka jana jioni kwenda Morogoro na baadaye Iringa kwa ajili ya mechi za kumalizia Ligi Kuu.

Timu ya Wananchi itashuka Kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kucheza na Mtibwa Sugar Jumatano kabla ya kwenda Iringa kuivaa Lipuli FC Jumapili katika mchezo wa funga Dimba wa Ligi.

Wachezaji walioondoka katika msafara ni pamoja na Farouk Shikhalo, Metacha Mnata, Ramadhan Kabwili na Geoffrey Magaigwa, Juma Abdul, Paul Godfrey, Ally Mtoni, Jafary Mohammed, Adeyum Saleh na Lamine Moro.

Wengine ni Faisal Salum, Abdullaziz Makame, Said Juma Makapu, Deus Kaseke, Mrisho Ngassa, Eric Kabamba Yikpe Gislain, David Molinga, Tariq Seif, Ditram Nchimbi na Adam Kiondo.

Benchi la ufundi linaongozwa na Kocha Mkuu Luc Eymael, Cassim Fareed, Redoh Burden, Abeid Mziba, Said Maulid, Fred Mbuna na Dr. Shecky Mngazija.

Viongozi wengine ni Mike Victor, Edward Martine Fungameza, Laurent Mmassy na Mkuu wa msafara Hassan Bumbuli pamoja na Dereva Sadick Bura.
 
TIMU YA WANANCHI VIONGOZI NA WACHEZAJI BAADA YA KUWASILI MKOANI MOROGORO KUMALIZIA MOJA KATI YA MECHI MBILI ZILIZOBAKIA ZA VPL DHIDI YA MTIBWA SUGAR.
 
Hii timu kushinda ni ngumu, kunapokuwa na mikwaruzano kwenye management mara nyingi inaadhiri hata uwanjani, na timu zetu hizi unakuta kila kiongozi kaleta mchezaji wake pale, hujuma lazima ziwepo. Yanga wajipange kusuka management na kusajili wachezaji wanaoendana na ukubwa wa timu.
 
Ila Mkwasa mara nyingi akiwa kocha msaidizi lazima kuwe na matatizo. Na hata alipokuwa katibu mkuu alikuwa na tuhuma za kuhujumu benchi LA ufundi
 
Ila Mkwasa mara nyingi akiwa kocha msaidizi lazima kuwe na matatizo. Na hata alipokuwa katibu mkuu alikuwa na tuhuma za kuhujumu benchi LA ufundi
huwez mtu awe kocha mkuu kisha umshushe lazima iwe shida
hata simba yule masoud djuma alipoachiwa timu mwezi mmoja alileta tabu alipokuja uchebe

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ