Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pressure yako tu hakuwezi poa kwa ajili ya game mojaHumu ndani tangu kusimamishwe mnara wa 4G kumepoa kweli. Sijui shida nini au tuje tuuondoe mnara wetu?[emoji13][emoji41]
Eti Shadeeya unaonaje?
Waambie hao. 😎😎Pressure yako tu hakuwezi poa kwa ajili ya game moja
Mshauri Anune, hivi nyie bila Gsm mngekua watu? Shukuruni hata GSM anawastili saiziUtajiri wenyewe wanaouringia uko wapi!?
Inategemea na Mo ameamkaje siku hiyo. Akinuna tu,mnageuka omba omba
Mlishazoea kununua mechi zao ili mbaki juu, sasa tawi lenu limengoka rasmi, point za bure mzifuate labda huko FDL.
Kwa hiyo Lipuli ya mama Jesca ndio imeipa Simba ubingwa?Mlishazoea kununua mechi zao ili mbaki juu, sasa tawi lenu limengoka rasmi, point za bure mzifuate labda huko FDL.
,Kwa hiyo Lipuli ya mama Jesca ndio imeipa Simba ubingwa?
Imechangiaje?Yes imechangia ubingwa wa Mnyero fc a.k.a Mikia fc
,
Napita kusalimia tuWaambie hao. [emoji41][emoji41]
jidanganyeUtajiri wenyewe wanaouringia uko wapi!?
Inategemea na Mo ameamkaje siku hiyo. Akinuna tu,mnageuka omba omba
Mbumbumbu kwani sisi ni wanasimba!?Kocha mkuu wa klabu ya Yanga,
Luc Aymael amesema mashabiki wa Yanga ni wajinga pia amesema kuwa uongozi wa klabu ya Yanga ni Waswahili wameshindwa kumtimizia matakwa yake ya ki mkataba.
Kocha huyo amesema amechoka kukaa Tanzania hana DStv,hana Gari ,Yanga walimpangishia nyumba mbaya. Amedai bora tu wamuache aondoke zake na kwa mwendo huu Aymael amesema Yanga haiwezi kushinda chochote.
Pia ameshangazwa na mashabiki wa Yanga kutojua mambo ya mpira amedai ni kama Mambumbumbu tu yanapiga Makelele na kuzomea zomea kama Nyoni na yanabweka bweka kama Mbwa.
Shadeeya