Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
KWELI ANAIJUA SIMBA NJE NDANI, HUYU ANAWEWESEKA NA GOLI NNE WALA HAKUNA LINGINEAlikuja kwa mbwembwe View attachment 1518204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWELI ANAIJUA SIMBA NJE NDANI, HUYU ANAWEWESEKA NA GOLI NNE WALA HAKUNA LINGINEAlikuja kwa mbwembwe View attachment 1518204
Hakuna atakayehama timu kwa maneno ya kwenye khanga kama hayo Mtani.Ningekuwa mimi ndiyo nimetukanwa hivyo ningeacha tu kushabikia hiyo timu.
Maana hizi sasa ni dharau.
Hakuna atakayehama timu kwa maneno ya kwenye khanga kama hayo Mtani.
Hizi ni biashara za watu mkuu,huwa wanauza magazeti kwa story hizo......hata nikiweka heading za Simba utaelewaAlikuja kwa mbwembwe View attachment 1518204
Kwani mimi nimebweka ndugu yangu?Wacha kuteseka we Mikia.[emoji41]
Hahahahaaaa. Lol.Mdau hapo juu ameweka, umeisikia lakini?
Sema ndiyo iko kwa kiingereza, nadhani kocha wenu alijua hamtaelewa kwa sababu eti hamjasoma.
Akasahau kwamba tutawatafsiria.
Hahahahaaaa. Lol.
Nimeisikia aiseee. Ila nadhani uongozi wana cha kujifunza pia.
Hahahahaaaa. Dikishenari si zipppo tungedadavua neno kwa neno mpaka tukaelewa.
Kwenda zako huko. Yaani umemsikiliza Mtani. LolSawa mmeelewa, kwenye hayo maneno mnachagua tuwape jina gani?
NB: Utopolo liko pale pale.
- Manyani
- Mbwa
- Mambumbumbu (ila hili ni gumu kulihamisha)
- Mazero
Haya bana Mtani.Sisi ndiyo tumeshamsikia, kama nyie mlivyotufanyia kwa Rage.
Sisi tunachagua humo humo tunawapa tu, ila la Utopolo naona kama ni gumu kuja kulifuta.
Yaani we acha tu,mzungu ana dharau sana huyu. Nimefurukuta kuipandisha audio hapa nimeshindwa
Iwe dhidi ya mtibwa au dhidi ya Manchester United aliongea ujinga usiovumilika!LUC EYMAEL ATOA NENO
"Nimeona tu barua imeandikwa kwa kiswahili, tupo njiani nikifika Dar ntapata ufafanuzi na ikibidi kutolea maelezo. . Nimefanya kazi barani Afrika kwa miaka mingi sana, bara la Afrika imekuwa nyumbani kwangu siwezi nikawa mbaguzi sina rekodi hiyo, Hiyo clip ya sauti ni yangu na nilirekodiwa baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar nikiwa katika hasira na huyo mwandishi alikuwa ananilazimisha kufanya nami mahojiano. . Nilitegemea baada ya mchezo wa Lipuli kutokea hili ndio maana baada ya mchezo niliomba Samahani kwa kumaanisha kitakachojiri. .Mimi sio mbaguzi ndio maana nilipiga goti kuashiria kupinga vitendo vya ubaguzi. . "
Luc Eymael.
[emoji848][emoji848] MBONA KAMA HAIINGII AKILINI HIVYO ALIVYOYASEMA HAYO HATA KAMA HAIKUWA HIYO JANA ALIKUWA ANATAKA KIWE NINI?
- HIVI HASIRA KWA MWANDISHI NDIO ATUDHARAU NA KUTUITA MAJINA YA AJABU KIASI KILE KWELI?
Hakika na inaelekea alijua kitanuka na ndio sababu jana akawa anajikosha kushangilia zaidi ya kilichotokea.Iwe dhidi ya mtibwa au dhidi ya Manchester United aliongea ujinga usiovumilika!
Usijali Mkuu Kuna Mdau kaiweka hapo juu post no # 9,549.Yaani we acha tu,mzungu ana dharau sana huyu. Nimefurukuta kuipandisha audio hapa nimeshindwa
Mdau hapo juu ameweka, umeisikia lakini?
Sema ndiyo iko kwa kiingereza, nadhani kocha wenu alijua hamtaelewa kwa sababu eti hamjasoma.
Akasahau kwamba tutawatafsiria.