Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga,
Luc Aymael amesema mashabiki wa Yanga ni wajinga pia amesema kuwa uongozi wa klabu ya Yanga ni Waswahili wameshindwa kumtimizia matakwa yake ya ki mkataba.
Kocha huyo amesema amechoka kukaa Tanzania hana DStv,hana Gari ,Yanga walimpangishia nyumba mbaya. Amedai bora tu wamuache aondoke zake na kwa mwendo huu Aymael amesema Yanga haiwezi kushinda chochote.

Pia ameshangazwa na mashabiki wa Yanga kutojua mambo ya mpira amedai ni kama Mambumbumbu tu yanapiga Makelele na kuzomea zomea kama Nyoni na yanabweka bweka kama Mbwa.
Shadeeya
Mmmh. 🤔🤔
 
LIGI ISHAISHA TUNAENDELEA NA MENGINE SASA.

20200727_065904.jpg
 
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga,
Luc Aymael amesema mashabiki wa Yanga ni wajinga pia amesema kuwa uongozi wa klabu ya Yanga ni Waswahili wameshindwa kumtimizia matakwa yake ya ki mkataba.
Kocha huyo amesema amechoka kukaa Tanzania hana DStv,hana Gari ,Yanga walimpangishia nyumba mbaya. Amedai bora tu wamuache aondoke zake na kwa mwendo huu Aymael amesema Yanga haiwezi kushinda chochote.

Pia ameshangazwa na mashabiki wa Yanga kutojua mambo ya mpira amedai ni kama Mambumbumbu tu yanapiga Makelele na kuzomea zomea kama Nyoni na yanabweka bweka kama Mbwa.
Shadeeya
Utopolo mwaka wao aisee kila siku vioja
 
Kasema pia washabiki wa Yanga hawajasoma, hawajui mpira. Wanachojua ni kuruka ruka tu kama manyani.

cc Shadeeya
Hahahaaaa. Alikuwa anatafuta sababu huyo Mtani.

Akwende zake huko kwa hiyo usomi wetu tumuonyeshe yeye wa kazi gani. Teh teh.

Ye kaja kufanya kazi hayo ya kuruka ruka atuachie wenyewe. Teh.

#Irushepo basi hiyo audio tujisikie. 😅
 
Audio nimeipata kupitia WhatsApp, nashindwa jinsi ya kui attach hapa.

Siioni hata kwenye downloads.
 
Duuh!! Wacha nikaperuzi peruzi mitandaoni natumai nitaipata.

Ila Mtani kama katukashifu namna hiyo hapaswi kuendelea kuwepo aiseee sababu yeye anamapungufu mbona hatujawahi yapigia kelele.
 
Back
Top Bottom