Usibadilishe maneno, jamaa kasema hivi wananchi ni wapuuzi sasa nyinyi si ndio mnajiitaga wananchi[emoji23][emoji23]Kwa akili zao wanadhani kawatukana wanayanga pekee. Wakati kuna maneno anasema watanzania hawajasoma. Hapo mikia wanajifanya wao sio watanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nyinyi ndio wananchi mlioambiwa hamjasoma.Huruma hiyo veeepeee?
Sema nyie Mbumbumbu ndio mnaomsapoti usitake kujificha kwenye kivuli cha Wananchi.
Eeeh!! Ndio sisi Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe nyinyi ndio wananchi mlioambiwa hamjasoma.
Bado Shadeeya tafadhali nieleweshe chanzo cha haya yote ni nini?Mtani bado tu hujapata wa kukujibu? 😎
Mi mwenyewe kama wewe tu Mtani.Bado Shadeeya tafadhali nieleweshe chanzo cha haya yote ni nini?
Natanguliza shukrani zangu👐
Kweli? basi sawa Shadeeya mchana mwema.Mi mwenyewe kama wewe tu Mtani.
Aidononathingi
Ndio. Na kwako pia Mtani.Kweli? basi sawa Shadeeya mchana mwema.
Pendekeza jina la kocha mmoja unayeona anafaa.Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa?
Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba wanataka kuja Yanga imekaaje hii? 🤔🤔
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa?
Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba wanataka kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]
Sinaga Experience na hizo mambo za makocha Mkuu lakini kwa hawa ambao baadhi tulishashindwana nao kwangu naona hawako sahihi sababu mwisho wa siku wataleta mauza uza kama yale waliyokuja nayo mwanzo na huo ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kulaumiana tu na Yanga kubakia pale pale siku zote.Pendekeza jina la kocha mmoja unayeona anafaa.
Yule hapana mana hakawii kusema ye ndio analisha wachezaji na kuwagharamia kila kitu. 😀Bora wamrudishe Zahera[emoji16]
Inashangaza. Wanatakiwa viongozi watuletee benchi jipya la ufundi. Na ili tufanikiwe,Mkwasa asiwe sehemu ya ufundiHivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.
Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]
Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Lwandamila mtu na nusu.Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.
Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]
Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Hakika usemalo Mkuu Viongozi waache tantarira kwani mwisho wa siku tutakuwa hatupigi hatua zaidi ya kurudi nyuma.Inashangaza. Wanatakiwa viongozi watuletee benchi jipya la ufundi. Na ili tufanikiwe,Mkwasa asiwe sehemu ya ufundi
namaanisha ni kocha mzuri, anajua kubua na ku improve wachezaji mkuu.Hapa umeniacha Mkuu.
Unamaanisha nini?