kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Siyo kosa lao hawa Akili zao zimetawanyika sana, zikija kujikusanya wakatafakari na kuelewa watamaindi sana!
Na ukishajiona we ni mtu mweusi halafu unafurahia mwenzio kuitwa nyani inabidi kujiangalia vizuri kwani si ajabu kuna nati imelegea kichwani na inahitaji kukazwa. Teh teh.