kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Excellent move so far!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excellent move so far!
Yaani Mkubwa kabisa. LolIli wacheze muda mrefu,huyu ukimkadiria ana 29-33 kabisa
Ndio unanifokea Mtani. 😂😂😂😂Simu ee subiri msimu uanze ndio utajua kuwa maharage ni mboga.😎
Simba nguvu moja
Wamezage tu wembe wale wasiopenda.
Hakika japo na kule mbele wakuangalie kuna mabutu pia nako mana wafungaji hatuna.Excellent move so far!
Vzr , nasikia CAF wanawatosa Libya , then inawezekana Tanzania ikapewa nafasi NNE zile
Nadhani wameanza na ulinzi kwanza ndipo waelekee huko mbele. Kule kunahitaji maboresho makubwa sanaHakika japo na kule mbele wakuangalie kuna mabutu pia nako mana wafungaji hatuna.
Hili ni beki kisiki la timu ya taifa eti!?[emoji16]#Babamdogo.
Chukueni huyu Sarpong, Tusila, Tshibangu ,Au Lumbala , watupie pale mbeleNadhani wameanza na ulinzi kwanza ndipo waelekee huko mbele. Kule kunahitaji maboresho makubwa sana
3 hii,tulihitaji sana huku. Bado kule mbili kama wanaona boxer hafaiHUYU ANAITWA YASSIN MUSTAFA AMETOKEA POLISI TANZANIA.
Sarpong na Kisinda angalau nawafahamu ni wazuri sana hasa Sarpong. Ila hata yule Yacuba Wa Ashanti Gold ni mshambulizi mzuri piaChukueni huyu Sarpong, Tusila, Tshibangu ,Au Lumbala , watupie pale mbele
Hakika! Japo wapachangamkie kwani kuna kama one month tu kuyafanya yote hayo.Nadhani wameanza na ulinzi kwanza ndipo waelekee huko mbele. Kule kunahitaji maboresho makubwa sana