Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Ndo mwenyewe Etii.Hili ni beki kisiki la timu ya taifa eti!?[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Ndo mwenyewe Etii.Hili ni beki kisiki la timu ya taifa eti!?[emoji16]
MBUMBUMBU wanatoa povu tu huko. 😂😂😂Hili ni beki kisiki la timu ya taifa eti!?[emoji16]
Kwasasa hivi inabidi iwe hivyo tuu. Kwani kocha akija hata sasa hivi hataweza kufatilia mchezaji yeyote. Ligi imekweshaWamezage tu wembe wale wasiopenda.
Japo najisemea kabla hatujaendelea ingependeza tukampata kocha kwanza. Sababu ninahakika haya yalikuwa mapendekezo ya Luc Emayel.
Nasikia anafunga magoli kila baada ya sekunde 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAGAZETI YA LEO [emoji41][emoji41]
manyani wanashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wengine wanabweka kama ubwa...mbelijiji mbelijiji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MBUMBUMBU wanatoa povu tu huko. [emoji23][emoji23][emoji23]
Alifanya interception mbili vs Chama...kala Kandaras ..safi sanaHUYU ANAITWA YASSIN MUSTAFA AMETOKEA POLISI TANZANIA.
Kwa kasi hii Naamini tutamaliza vema. Na ninachokiaona ni kama wachezaji wanaopaswa kuja washamaliza maongezi kilichobaki ni wino tuHakika! Japo wapachangamkie kwani kuna kama one month tu kuyafanya yote hayo.
Sahizi muda wote watakuwa wamevua mashati wanasonya na kutema mate hapa na pale huku wakitukana kishenzi uongozi waoMBUMBUMBU wanatoa povu tu huko. [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajikaza tu kunywa na panadolmanyani wanashangilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wengine wanabweka kama ubwa...mbelijiji mbelijiji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi ndugu mbona mnatupangia?Alifanya interception mbili vs Chama...kala Kandaras ..safi sana
Uzeni Jaffar basi
Tshibangu yuko Mazembe , hao uliwataja wote watu ,wakikaa hapo kwenu mtatisha balaaSarpong na Kisinda angalau nawafahamu ni wazuri sana hasa Sarpong. Ila hata yule Yacuba Wa Ashanti Gold ni mshambulizi mzuri pia
Si rahisi kuwapata wote hawa aseeTshibangu yuko Mazembe , hao uliwataja wote watu ,wakikaa hapo kwenu mtatisha balaa
Naona Defense mko na saini ya Mwanyeto
Hata mm linanisumbua Sana hiloWamezage tu wembe wale wasiopenda.
Japo najisemea kabla hatujaendelea ingependeza tukampata kocha kwanza. Sababu ninahakika haya yalikuwa mapendekezo ya Luc Emayel.