Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Makundi ya whatsapp ???
Hili timu siku hizi linaendeshwa kwa WhatsApp [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

WhatsApp Fc [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani hapo wameandika hao ndio wanaendesha timu?

Nadhani lengo la kukutana nao ni utoaji wa taarifa zisizo rasmi za klabu umekuwa mwingi na chanzo ni huko kwenye hayo makundi
 
Ndugu yangu ushaambiwa ni mbumbumbu hawa hawezi kuwaza kiundani. Kwanza wangetafakari maneno ya mwanzo tu ya huyo kocha wasingeunga mkono ule ubaguzi. Alimwambia mwandishi "I'm not enjoying your country, you are uneducated people" hata mwandishi sijui kwa nini hakumkemea walau kwa kibao japo mimoja
Na kweli Mbumbu kuelewa ni shughuli aisee.
 
Yaani yupo kama mwanangu wa pili Mtani. Lol.
Tuachane na huyo babu kijana, hivi mkuki wa sumu ameshapata dhamana?😜
Anakalamika huko kuwa nyie mnahusika kwenye kukamatwa kwake, kwamba mmemtengenezea zengwe. Hii inakuaje Shadeeya?
 
Screenshot_20200801-195422.png

Shadeeya
 
Kiungo wa Kagera Sugar , Zawadi Peter Mauya amekamilisha uhamisho wake kuelekea Yanga SC! Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na kutambulishwa mchana wa leo mbele ya kaimu katibu Mkuu Simon Patrick na Mjumbe Mhandisi Hersi Said.
FB_IMG_1596300814772.jpg
 
Back
Top Bottom