Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Inabidi benki ivunjweSi rahisi kuwapata wote hawa asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi benki ivunjweSi rahisi kuwapata wote hawa asee
kwa usajiri wa ndani naona mnaenda vzrWaziri Junior from Mbao,so far hii best signingView attachment 1525155Shadeeya huyu tumelamba dume
Timu inasajili wachezaji bila kocha hahahahahahahahahkwa usajiri wa ndani naona mnaenda vzr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu inasajili wachezaji bila kocha hahahahahahahahah
[emoji23]Tunajua kuwa matokeo ya Sumbawanga mnayo ila tu hampendi show off.
Simba nguvu moja
Hapa ndipo viongozi wanapochemka. Akija kocha wote hao kwakwe wanakuwa hawafiti.Timu inasajili wachezaji bila kocha hahahahahahahahah
Yeah,umeongea ukweli mkuukwa usajiri wa ndani naona mnaenda vzr
Kusanyeni wachezaji, sisi tunakusanya mataji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TUTAELEWANA TU KIDOGO KIDOGO.
Mkuu,,Soka ni mchezo wa mfumo na kila kocha ana falsafa yake ya ufundishaji na Mfumo wake.Hapa ndipo viongozi wanapochemka. Akija kocha wote hao kwakwe wanakuwa hawafiti.
Ndiyo maana kuna kamti ya ufund. Huyo mwenyekiti wa Yanga tu ni kocha wa UEFA. Yaani, mwalimu wa makocha.Mkuu,,Soka ni mchezo wa mfumo na kila kocha ana falsafa yake ya ufundishaji na Mfumo wake.
Unasajili wachezaji kwa mapendekezo ya nani Yanga sasa hivi haina Kocha mkuu wala Kocha msaidizi si uhuni huu.
Hahahaha, wana speed ya kusajiri haoYanga wamesha sajili wachezaji 4 lakini cha ajabu Shabiki alialia wa Yanga wa JF Shadeeya mpaka sasa yupo kimya ni kama vile bado kipigo cha goli 4 kinamvuruga sana huyu mwana mama.
Goli 4 Nyingi Jamanii Acheni Masiharaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yanga wamesha sajili wachezaji 4 lakini cha ajabu Shabiki alialia wa Yanga wa JF Shadeeya mpaka sasa yupo kimya ni kama vile bado kipigo cha goli 4 kinamvuruga sana huyu mwana mama.
Ngasa,juma abdul,yondani wote hawa ni malegend but tofauti ya Ngasa na wenzake ni kuwa yeye alishahama kwenda timu nyingine kama azam na simba hivyo imemuondolea hiyo sifa ya kubaki kwa heshima.Binafsi nimeumia kuachwa Ngasa
Ngasa hakua wa kuondokaBinafsi nimeumia kuachwa Ngasa
😀😀 geerrrareeehiaNasikia anafunga magoli kila baada ya sekunde 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeshamuacha huru huyo.Alifanya interception mbili vs Chama...kala Kandaras ..safi sana
Uzeni Jaffar basi