Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Itakuwa furaha yao ni kuona watu wanakosa mabao ya wazi tu.Ndiyo hapo sasa,mwanayanga hawezi chukia Yikpe kuondoka wala Molinga
Waendage tu kwa kweli tutasajili mbadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa furaha yao ni kuona watu wanakosa mabao ya wazi tu.Ndiyo hapo sasa,mwanayanga hawezi chukia Yikpe kuondoka wala Molinga
Umeona eeehItakuwa furaha yao ni kuona watu wanakosa mabao ya wazi tu.
Waendage tu kwa kweli tutasajili mbadala.
Na ukitaka ujue umbumbumbu wenu,kikosi chenu hamtaboresha bali mtakivuruga!!!Huu utopolo sijawahi kuuona duniani yaani timu kila msimu inasajili wachezaji 15[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kocha ndio anafuta, kisha anawaita mbwa na sokwe wananuna[emoji23][emoji23][emoji23]
msije kulia lia tu[emoji3][emoji3] geerrrareeehia
MtamkumbukaTumeshamuacha huru huyo.
MAAMUZI MAGUMU NDIYO YALIKUWA YANAHITAJIKA JAPO TUMEUMIA KWA KUKOSA VIPENZI VYETU.
Acheni Yanga ifanye maamuzi yake Yanga siyo ya kwanza kufanya hili jambo la kuondoa wachezaji wenye matatizo mbali mbali na ambao mikataba imeisha kutoendelea nao, hata watani wamewahi kufanya hivyo.
Mwaka 2017 tunawakumbusha tu Simba iliachana na wachezaji hawa
1. Denis Richard
2. Mnyate
3. Blagnon
4. Kazimoto
5. Agyey
6. Lufunga
7. Hamad Juma
8. Manyika Jr
9. Bukungu
10. Mwanjali
11. Haji Ugando
12. Costa
Siyo vitu vya ajabu kwenye soka.
@Yangafulldozz.
Hivi hii huruma mmetowa wapi eti?msije kulia lia tu
Pia mi sijambo.Sawa[emoji16]
Pia mi sijambo.
Hatuna jinsiMtamkumbuka
Mbona umepoa hivyo au ndio usajili wa timu ya Wananchi unakufanya uzizime? 😎😎Nashukuru Kama uko poa
Katika Orodha hiyo ni wachezaji wanne tu ndiyo walikuwa kikosi cha kwanza na wote walikuwa wamemaliza mikataba yao.Sawa[emoji16]
Mbona umepoa hivyo au ndio usajili wa timu ya Wananchi unakufanya uzizime? 😎😎
Yani nyie mikia kuchukua tu makombe yote matatu basi ndio mnaona kama mmechukua world cup, yani mshakua wataalamu wa mpira tayari, wachambuzi nyie, makocha nyie, wakosoaji nyie yaani kila kitu nyie.
Acheni ushamba tuacheni na timu yetu.
Kwani ukiacha usimba na uyanga mimi na wewe tuna tofauti gani?, mtu akisimama mbele yako utaweza kujua huyu ni simba au ni yanga bila yeye mwenyewe kukuambia?Ila bila kusahau Nyie ni Manyani[emoji23][emoji23][emoji23]