Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hili swali nilitaka kumuuliza mtu mmoja humu nikasahau. TFF wamechukua hatua kwa kauli za kibaguzi kama hizo za Eimael, lakini mwingine ambaye naye alijumuishwa na yule Mzungu kuitwa Nyani naye anaita wenzie Nyani!
Ni uelewa tu kuwa mdogo katika baadhi ya mambo na kuchukulia ushabiki kama sehemu ya uadui.

Yaani mtu anachambua sentensi moja na kuibeba nzima nzima na kusahau kuzichambua na kuzielewa sentensi zote.
 
1596609620830.png
 
Hili swali nilitaka kumuuliza mtu mmoja humu nikasahau. TFF wamechukua hatua kwa kauli za kibaguzi kama hizo za Eimael, lakini mwingine ambaye naye alijumuishwa na yule Mzungu kuitwa Nyani naye anaita wenzie Nyani!
Tatizo huyo ni mbumbumbu. Kuelewa ni ngumu
 
Hili swali nilitaka kumuuliza mtu mmoja humu nikasahau. TFF wamechukua hatua kwa kauli za kibaguzi kama hizo za Eimael, lakini mwingine ambaye naye alijumuishwa na yule Mzungu kuitwa Nyani naye anaita wenzie Nyani!
Alisema mashabiki wa Yanga aka Utopolo wanaropoka tu ka manyani na kupiga kelele ka mbwa, usitake kujificha kwenye kivuli cha TFF, kwani hamropoki tu ka manyani?
Manyani fc kwenye ubora wenu
 
Luc kuwaambia mnaropoka tu ka manyani hakukosea,
Manyani fc kwenye ubora wenu
Kwa hiyo umekosa kazi unamquote nyani? 🤔🤔🤔

#I will respect you if you respect your self.
 
Alisema mashabiki wa Yanga aka Utopolo wanaropoka tu ka manyani na kupiga kelele ka mbwa, usitake kujificha kwenye kivuli cha TFF, kwani hamropoki tu ka manyani?
Manyani fc kwenye ubora wenu
Kwa hiyo unaumiia tukiropoka?

Kutwa kwenye uzi wa manyani nini kinawaleta kama na nyie sio manyani.

#Kwendenizenunihukoo. Mmmxxxiiiewwww.
 
Harakati za maisha zinaendeleaje hapa Utopolo,? Nyani fc
 
Kwani ukiacha usimba na uyanga mimi na wewe tuna tofauti gani?, mtu akisimama mbele yako utaweza kujua huyu ni simba au ni yanga bila yeye mwenyewe kukuambia?
By the way wewe kuwaita wenzio mikia unawaona wana mkia hata kama ni mfupi kama wa sungura ?
 
Kwa hiyo unaumiia tukiropoka?

Kutwa kwenye uzi wa manyani nini kinawaleta kama na nyie sio manyani.

#Kwendenizenunihukoo. Mmmxxxiiiewwww.
Acha dawa iwaingie vizri, mnafikiri nyie kuwaita wenzenu mikia ni maneno mazuri...
Manyani fc kwenye ubora wenu
 
Acha dawa iwaingie vizri, mnafikiri nyie kuwaita wenzenu mikia ni maneno mazuri...
Manyani fc kwenye ubora wenu
Hakuna wa dawa kumuingia hapa.

Labda uigeuze kwako ikuondoe huko kwenye Racism na pia uwe na akili ya kujua kwamba nje ya jezi nyekundu utakayoivaa huna tofauti na huyo unayemuita nyani labda jinsia.

🚶‍♀️🚶‍♀️
 
By the way wewe kuwaita wenzio mikia unawaona wana mkia hata kama ni mfupi kama wa sungura ?
Mbona hata havihusiani Mtani? Mkia na Nyani? 😳

Niseme tu hoja yenu haina mashiko hata kidogo. Ila inabidi kuwazowea tu na kuamini ile kauli ya Rage dhidi yenu. 😎
 
By the way wewe kuwaita wenzio mikia unawaona wana mkia hata kama ni mfupi kama wa sungura ?
Mkia inaitwa timu ya simba sio mashabiki wa simba kua ndio mikia, see the difference .. Yanga hua mnaiita vyura umesikia tunalalamika,,
Kuna tofauti kubwa sana kusema yanga ni nyani au mashabiki wa yanga ni nyani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi alikujibu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajanijibu.. Ajabu ni kama unavyosema they call us nyani lakini kutwa kucha wapo kwenye hii thread ya manyani, kama wao pia sio manyani wanatafuta nini huku.
 
Back
Top Bottom