Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa akili zao wanadhani kawatukana wanayanga pekee. Wakati kuna maneno anasema watanzania hawajasoma. Hapo mikia wanajifanya wao sio watanzania
Usibadilishe maneno, jamaa kasema hivi wananchi ni wapuuzi sasa nyinyi si ndio mnajiitaga wananchi[emoji23][emoji23]

Sokwe fc
 
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael ,60, afungiwa na chama cha soka Afrika Kusini (SAFA) kufanya kazi nchini humo, hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Yanga kumfuta kazi kwa tuhuma za ubaguzi wa rangi, SAFA pia wamewaomba FIFA na CAF kumuadhibu zaidi ya kocha huyo.

“Tunataka kuonesha mshikamano wetu na sapoti kwa chama cha soka cha Tanzania na Yanga SC, historia yetu, mila na desturi ni kupinga ubaguzi wa rangi wa aina yoyote “ taarifa kutoka SAFA

#MillardAyo.
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? 🤔🤔

Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa?

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba wanataka kuja Yanga imekaaje hii? 🤔🤔
Pendekeza jina la kocha mmoja unayeona anafaa.
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa?

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba wanataka kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]

Bora wamrudishe Zahera[emoji16]
 
Pendekeza jina la kocha mmoja unayeona anafaa.
Sinaga Experience na hizo mambo za makocha Mkuu lakini kwa hawa ambao baadhi tulishashindwana nao kwangu naona hawako sahihi sababu mwisho wa siku wataleta mauza uza kama yale waliyokuja nayo mwanzo na huo ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kulaumiana tu na Yanga kubakia pale pale siku zote.

Au we unadhania watakuja na jipya gani?
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]

Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Inashangaza. Wanatakiwa viongozi watuletee benchi jipya la ufundi. Na ili tufanikiwe,Mkwasa asiwe sehemu ya ufundi
 
Hivi huwa najiwazia inamaana hakuna makocha wapya ambao wanaeza ifundisha Yanga mpaka wale ambao walishashindwa wakasepa.

Nini maana ya hii kitu jamani mana naona kila sehemu anazungumziwa Lwandamina, Van Pluijm, yule aliyeshindwana na simba Kidevu kwamba mmoja wao anaweza kuja Yanga imekaaje hii? [emoji848][emoji848]

Ni kwamba
- Tumewazowea
- Wako Cheap kuwapata
-Wanaipenda Tz ama aje?
Lwandamila mtu na nusu.
 
20200730_053948.jpg
 
Back
Top Bottom