Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona hata havihusiani Mtani? Mkia na Nyani? [emoji15]

Niseme tu hoja yenu haina mashiko hata kidogo. Ila inabidi kuwazowea tu na kuamini ile kauli ya Rage dhidi yenu. [emoji41]
Nyani kawaita kocha wenu lawama mnatutupia sisi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkia inaitwa timu ya simba sio mashabiki wa simba kua ndio mikia, see the difference .. Yanga hua mnaiita vyura umesikia tunalalamika,,
Kuna tofauti kubwa sana kusema yanga ni nyani au mashabiki wa yanga ni nyani.
Kocha wenu kawaongezea majina mengine mnataka sisi tufanyaje ?
 
Hajanijibu.. Ajabu ni kama unavyosema they call us nyani lakini kutwa kucha wapo kwenye hii thread ya manyani, kama wao pia sio manyani wanatafuta nini huku.
Ndio unyani wenyewe nao huo yaani bila kukusanyika na manyani wenzao hawaoni raha. 😂😂😂😂😂

#Lol.
 
Mkia inaitwa timu ya simba sio mashabiki wa simba kua ndio mikia, see the difference .. Yanga hua mnaiita vyura umesikia tunalalamika,,
Kuna tofauti kubwa sana kusema yanga ni nyani au mashabiki wa yanga ni nyani.
Inahitaji tuanzishe Darasa la kuwaelewesha huenda wakaelewa.

Hoja yao ni nyepesi mnooo.
 
"Yanga walileta ofa rasmi katika klabu ya Azam FC yakumtaka kiungo Salum Aboubacary (Sure Boy) na mchezaji mwenyewe ameiomba klabu aondoke akapate changamoto mpya." CEO wa Azam FC, Popat Abdulkarim Amin​
(SPORTS ARENA).​
 
Hahahaaa. Watakuwa Vibaraka hawa Watani zetu.

Na si ajabu akijua wanamsapoti nao akawaita manyani pia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hapo watajua kua hawajui, wakati wana ndugu zao wa karibu ambao ni fans wa Yanga.
Mfano mtu kama Manara, baba yake ni fan wa Yanga, mtoto wake ni fan wa Yanga,, simjafuatilia kama nae yupo upande wa Luc ama vp, ila kwa hawa wanao msupport humu naamini lzm ndugu zao wa karibu tu wapo Yanga, sijui wanajisikiaje kuwasaliti ndugu zao na kua vibaraka wa Luc
 
Ni uelewa tu kuwa mdogo katika baadhi ya mambo na kuchukulia ushabiki kama sehemu ya uadui.

Yaani mtu anachambua sentensi moja na kuibeba nzima nzima na kusahau kuzichambua na kuzielewa sentensi zote.

Leo nyie mmeshikwa pabaya, ndo mnajua ubaya wa kuchukua sentensi moja tu.

Hivi nyie mlivyotuita Mbumbumbu FC kipindi cha Rage mnadhani tulifurahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…