Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyo Manara alishalifikiria hilo akawapa makavu nadhani aliwaza mbali kwa kuona wapo watu wakaribu ambao haezi kubali waitwe manyani.

 
Leo nyie mmeshikwa pabaya, ndo mnajua ubaya wa kuchukua sentensi moja tu.

Hivi nyie mlivyotuita Mbumbumbu FC kipindi cha Rage mnadhani tulifurahi?
Hamna kushikana pabaya wala nini Mtani.

Hivi mbona na nyie mna majina kibao mnatuita tuliwahi waka Mtani na mengine mpaka mnataka yaekwe kwenye kamusi au sio nyie Mtani?

#KwaNyanihapanaaisee.
 
Hamna kushikana pabaya wala nini Mtani.

Hivi mbona na nyie mna majina kibao mnatuita tuliwahi waka Mtani na mengine mpaka mnataka yaekwe kwenye kamusi au sio nyie Mtani?

Chukulieni kama utani tu Mtani.

Mara nyingi kwenye kutaniana, lile ambalo linamkera zaidi mtani wako ndo unalitumia zaidi.

Ni utani tu, nyie siyo mbwa wala nyani, so eleweni kwamba tunataniana tu.
 
Shikalo

Yassin Mustafa, Lamine Moro, Mwamnyeto, (Juma Abdul)

Sureboy, Feitoto

Niyonzima

Chilunda, ( ), Nchimbi

Subs: Zawadi Mauya, Mapinduzi Balama, Juniour, Metacha, ( )

Hapo bado kuna wachezaji 5 kutoka nje

Yanga [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sorry hapo sio Chilunda (Ni Fareed yule wa Hispania, ninawafananisha hawa watu)
 
Mbona hata havihusiani Mtani? Mkia na Nyani? [emoji15]

Niseme tu hoja yenu haina mashiko hata kidogo. Ila inabidi kuwazowea tu na kuamini ile kauli ya Rage dhidi yenu. [emoji41]
Woh woh woh
 
Dah aiseeeh wewe jamaa unapata tabu, kule Nyumbu huku Nyani[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hapo ulipo upo Mikumi au Serengeti???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili la manyani linawafaa mno, tena mkiwa mnalichukia Ndo linazidi kua zuri ka la Utopolo
 

Nyani mdogo pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu una undugu na Tarzan nini?,, mpaka unao uwezo wa kuongea na manyani

[emoji125][emoji125][emoji125] Pia bila kuja kwenye uzi wa manyani kuwafanyia fujo .. Hamuoni faha, kama vipi ombeni uraia, nafasi bado zipo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Aliyekuwa Mshambuliaji wa Mbao FC ya Mwanza msimu uliopita kwa Sasa ni mchezaji wa Yanga Sc, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20, Waziri amewashinda Peter Mapunda wa Mbeya City na Obrey Chirwa wa Azam FC alioingia nao fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…