Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa uelewa wangu Blaise ni Mrundi. Tetesi zilizopo ni kuhusu Blaise sio Lusajo.
Lusajo ndiyo wa Tz, huyo Blaise sijui wa wapi, ila wote hawana mentality na viwango vya kucheza timu kama yanga na simba
 
Mchezaji wa nje anatakiwa awe na ubora tofauti na wachezaji wa ndani, huyu Blaise naona kuna wachezaji wa ndani wazuri zaidi yake.
 
Umenielewa nilichosema Mkuu hapo juu?

Nimesema angekuwa wa ndani kwa kiwango chake nisingeona shida sana yeye kusajiliwa, kwa mtazamo wangu ndio level hizo hizo za akina Waziri Juniour na Nchimbi.

Lakini kwa mchezaji international hatupaswi kusajili kiwango kama hicho, inabidi tusajili strikers wa maana
Blaise wa kawaida na wakimsajili yanga uje ufukue huu uzi uhakiki nlichosema.
 
hapo tupo pamoja.
 
Mnaojua kuhusu hiyo Signing fee imekaaje eti kwa wachezaji wasainiwa wapya na wale wenyeji? 🤔🤔🤔
Jina lingine, ambalo ni la kibiashara huitwa "Signing Bonus" (kwa ajili ya mambo ya kodi).
Hii ni bonus inayotolewa ili kumvutia mchezaji. Bonus hutolewa na club kama zawadi tofauti na mshahara wa mchezaji ambao nao una kodi zake.
Wachezaji wengi hupenda signing bonus/fee kubwa kwa sababu huwa inatolewa bila kodi kama zawadi na mara nyingi huwa siri kati ya mchezaji na Club. Siyo kitu cha lazima kama mshahara na mara nyingi inakuwa kazi kushtaki kama ukiambiwa tutakumalizia mbele ya safari.

Club inaweza kuamua isikupe signing fee/bonus, kama ikiona haina haja ya kukuvutia au kama wakiona haupo kivile, unaweza kusepa kama hutaki.
Pia anaweza kutokea mwanachama akakupa bonus, Club ikakupa mshahara, yote inategemea na uhitajikaji wako.
 
Hayo maneno anasema morrison mwenyewe
Kuwa GSM WAMEGHUSHI SAINI YAKE..
waambieni GSM waache utapeli
Mmeingizwa chaka. Saa saba mchana imeshapita.
Mtangazeni basi. Mwishowe nyie waswahili wa Simba na Azam mtachokwa. Mnawapiga sana hela wamanga na wahindi wenu.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ebu wanishitaki NIONE.
waache kumshtaki morrison anayesema kasajiliwa miezi sita na wao wanasema wamemsajili kwa miaka 2..
wewe unadhani KUMSHTAKI MTU NI KAZI NDOGO?.[emoji16][emoji16][emoji16].
umenifurahisha sanaa..
wewe usichafue brand za watu, una hela za kuilipa GSM wakikushitaki?

wewe taniana na watani wako yanga mambo ya GSM achana nayo utapotezwa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
kasome (Tanzania trade and service mark act ) uje ubwabwaje mavi ya kuku yako hapa
 
Oooh!! Nimeielewa sasa.

Na kama wale wazee si ajabu walikuwa wanataka dau kubwa kama kina mwamnyeto wakati jua lishawachwea. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…