Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kama Mtanzania hua nasikitika sana mtu anapoibiwa nguvu kazi yake tena hasa vijana wenye vipaji kama kina Salum na MrishoVipi mbona unaumia sana!?
Hata akikopwa kama karidhika we haikuhusu
Hapana mkuu hawa sio Lunyasi, hawa ni wale waliotajwa na Kocha Luc mpaka akapewa adhabuWekundu wa msimbaziView attachment 1530810
Mmmh.Kama Mtanzania hua nasikitika sana mtu anapoibiwa nguvu kazi yake tena hasa vijana wenye vipaji kama kina Salum na Mrisho
Baba zao walicheza soka la ridhaa na wengi wa wachezaji wa wakati ule fursa nyingi za kiuchumi ziliwapitia pembeni kwahiyo hali zao si zakuridhisha sana.
Muda wa kucheza competitively and actively kwa mchezaji wa Kitanzania ni chini ya miaka kumi. Kwahiyo kwenye kipindi hicho lazima aweke msingi wa maisha yake ya baadae badala ya kuendekeza mahaba ya timu ambayo ukishapoteza uwezo wa kucheza wala haitakuja kua na huruma na wewe
Upo Shadeeya?Mmmh.
Mie nimejaa tele.Upo Shadeeya?
Wiki ya Wananchi inaanza lini vile,Mie nimejaa tele.
Pole sana mtani.Pia inabidi wajiulize katika ile list ya wachezaji tunaowaacha kulikuwa na ugumu gani Morison kuwekwa au wale ambao mkataba wao umeisha sababu ukiangalia ametufanyia vituko vya hovyo ambavyo kama mkataba usingekuwepo basi tungemuachilia mbali.
#Hafaiyulejamaa.
Inaanza tarehe 15.08.2020 na ufunguzi ni mjini Dodoma.Wiki ya Wananchi inaanza lini vile,
ππPole sana mtani.
Umeongea kwa uchungu kweli
Usinisahau tafadhali, najiombea mualiko kabisaaπ€ͺπ€ͺπ€ͺInaanza tarehe 15.08.2020 na ufunguzi ni mjini Dodoma.
Ndo ivo tena Morrison is Redππ
Dah! Hii sasa fedheha...jamaa anatia dole gumba huku anatucheka...Nimeumia kwakweliView attachment 1530919
IMEISHA HIYO MTANI.Yanga MUWAHI MAHAKAMANI ALAFU TABIA YA KUGHUSHI SAINI ZA WATU MUACHE.HUO NI UTAPELI
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unatufokea ama?Asubuhi niliwaambia yanga watoe mkataba wao wa miaka 2 waliomsainisha morrison MMEGOMA KIPO WAPI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Naona umejiandaa kuja kutuchamba. ππAsubuhi niliwaambia yanga watoe mkataba wao wa miaka 2 waliomsainisha morrison MMEGOMA KIPO WAPI?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app