Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Vipi mbona unaumia sana!?
Hata akikopwa kama karidhika we haikuhusu
Kama Mtanzania hua nasikitika sana mtu anapoibiwa nguvu kazi yake tena hasa vijana wenye vipaji kama kina Salum na Mrisho

Baba zao walicheza soka la ridhaa na wengi wa wachezaji wa wakati ule fursa nyingi za kiuchumi ziliwapitia pembeni kwahiyo hali zao si zakuridhisha sana.

Muda wa kucheza competitively and actively kwa mchezaji wa Kitanzania ni chini ya miaka kumi. Kwahiyo kwenye kipindi hicho lazima aweke msingi wa maisha yake ya baadae badala ya kuendekeza mahaba ya timu ambayo ukishapoteza uwezo wa kucheza wala haitakuja kua na huruma na wewe
 
20200808_122909.jpg
 
Mmmh.
 
Pia inabidi wajiulize katika ile list ya wachezaji tunaowaacha kulikuwa na ugumu gani Morison kuwekwa au wale ambao mkataba wao umeisha sababu ukiangalia ametufanyia vituko vya hovyo ambavyo kama mkataba usingekuwepo basi tungemuachilia mbali.

#Hafaiyulejamaa.
Pole sana mtani.

Umeongea kwa uchungu kweli
 
Dah! Hii sasa fedheha...jamaa anatia dole gumba huku anatucheka...Nimeumia kwakweli
wasafifm_20200808_1.jpg
 
Back
Top Bottom