Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuu una uhakika, mikia hawajatapeliwa?

Kwanini mnamwamini yule mwizi wa magari na mropokaji wao kuliko GSM

GSM ameshafanya mambo mengi sana kiasi cha kwamba unapaswa umpe hata "benefit of doupt"

Muda ndio utasema kuhusu hili suala, kuwa mvumilivu

Tunaendelea kusajili
 
Hata Luis Mick pia, nyinyi ndio mlituonyesha.. tunawashukuru kwa haya

ila Ntani, walai tutawapiga, tutawapiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], tutawabonda haswa
Yaani tumekuwa mabwege kweli.

Hii yote ni furaha leo unaniita kisambaa eti Ntani. 😀
 
Umekumbukaee ?? hao jamaa sio wa kuwaamini, ..niliwasikilizaga mara mbili nikaja hapa nikasema GSM sio wa kuwaamini sana , muwe nao makini

La Papy Kabamba halijaisha wakati mlipewa hadi video, la Ben hili hapa tena
Aiseee!! Ninavyoona wapo kunufaika tu kwa mgongo wa Yanga na si kingine.
 
Ina maana mnajisahaulisha kama hili suala limeshakuwa kesi na lipo TFF.

TFF ndio wamechelewa kulishughulikia, na GSM unawalaumu kwa lipi hapo?
 
Changia timu iweze kusajili! Toa angalau hata TZS 1.0 Bil.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Simba nao sidhani kama ni wajinga bana kumuonyesha dhahiri na vyombo vya habari vyote vikubwa kutangaza pasi wasi wasi.

Pale nionavyo hakika tumeshalizwa na GSM.

Tuendelee tu kusajili Mkuu hatuna jinsi ila haya mauza uza ya GSM inabidi ije ifikie kikomo chake.
 
Aiseee!! Ninavyoona wapo kunufaika tu kwa mgongo wa Yanga na si kingine.
Pesa waliyokua wanatumia Kwenye marketing mabango kila mahali wamehamishia kwenu, wanawatumia nyinyi, hukuti bango lao barabaran saiv, miaka yao mitatu ikiisha wanaachana na nyie wanarudi kuweka mabango upya
 
tangu ili sakata la morrison na GSM lianze huu mwezi wa ngapi?.
TFF unataka washughulikie nini wakati mchezaji kasaini miezi 6?..
Uzembe ni wa viongozi wa yanga na GSM.
Walitakiwa wapige STOP hizi choko choko kwa kutoa mkataba wao wa miaka 2 na Morrison..
Kwanini mkataba wana ficha?
Ina maana mnajisahaulisha kama hili suala limeshakuwa kesi na lipo TFF.

TFF ndio wamechelewa kulishughulikia, na GSM unawalaumu kwa lipi hapo?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ina maana mnajisahaulisha kama hili suala limeshakuwa kesi na lipo TFF.

TFF ndio wamechelewa kulishughulikia, na GSM unawalaumu kwa lipi hapo?
TFF yao hao Mikia hivyo si ajabu hilo swala likashughulikiwa hata mwaka mzima huku Morison anadunda Simba.
 
Ina maana mnajisahaulisha kama hili suala limeshakuwa kesi na lipo TFF.

TFF ndio wamechelewa kulishughulikia, na GSM unawalaumu kwa lipi hapo?
kuna uwezekano mkubwa tu huo mkataba wenyewe haupo, huu muda uliopotea watu walikua waki buy time warekebishe mambo ikashindika

kwasababu kama mkataba wanao TFF kama walivyosema, si swala la TFF kuutoa tu chap case imeisha
 
Kwenye list ya wachezaj 17 waliokua wamebak imepungua hadi 14.. yani hadi juma Abdul mmemuacha?? punguzen jeuri mtani, mtapoteana
Tunasubiri tuone wanapotupeleka kwani maamuzi yote haya wanayafanya pasi sisi mashabiki kuhusika hata kidogo.
 
We jamaa bhana, unachekesha sana

Eti walitakiwa watoe mkataba wao wa miaka 2

Sasa wautoe huo mkataba wapi, kwa nani?

Nimekwambia hilo shitaka lipo TFF na nyaraka zote ikiwemo mkataba kama ushahidi zipo huko

Morrison amesajiliwa kwenye mfumo wa TFF na FIFA kama mchezaji wa Yanga

Wewe unataka wakuketee mkataba nyumbani kwako? Mkataba upo kwenye mamlaka husika, na hiyo mamlaka ndio inachelewa kutoa hukumu/majibu
 
Tunasubiri tuone wanapotupeleka kwani maamuzi yote haya wanayafanya pasi sisi mashabiki kuhusika hata kidogo.
Ngasa na Kev umri umesogea ila uwezo wao uwanjan tumeuona, haikua wachezaj wa kuachwa tu hv hv , kimsingi hakuna sababu ya kuwaacha

Juma ndio kabisa, huku Akija Msimbazi anaingia kikos cha kwanza moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…