Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Mkuu una uhakika, mikia hawajatapeliwa?
Kwanini mnamwamini yule mwizi wa magari na mropokaji wao kuliko GSM
GSM ameshafanya mambo mengi sana kiasi cha kwamba unapaswa umpe hata "benefit of doupt"
Muda ndio utasema kuhusu hili suala, kuwa mvumilivu
Tunaendelea kusajili

Pia inabidi wajiulize katika ile list ya wachezaji tunaowaacha kulikuwa na ugumu gani Morison kuwekwa au wale ambao mkataba wao umeisha sababu ukiangalia ametufanyia vituko vya hovyo ambavyo kama mkataba usingekuwepo basi tungemuachilia mbali.
#Hafaiyulejamaa.