Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

GSM hawana mkataba wa miaka 2 na Morrison HUO NDO UKWELI. KAMA WANAO WAUTOE..
na waseme walimlipa sh ngapi.
Vinginevyo IMETOKA HYO.
MCHEZAJI TAYARI YUPO SIMBA.sisi hatuongei mengi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuamini unachotaka kuamini, mfano wewe unasema kuna uwezekano huo mkataba haupo... Naona unachoongelea ni possibilities tu, kwamba inawezekana.... Inawezekana kibao

Yanga wakishasema huo mkataba upo na umesajiliwa kwenye mamlaka za soka nchini na duniani

Ndio maana nikasema muda ndio utasema
kuna uwezekano mkubwa tu huo mkataba wenyewe haupo, huu muda uliopotea watu walikua waki buy time warekebishe mambo ikashindika

kwasababu kama mkataba wanao TFF kama walivyosema, si swala la TFF kuutoa tu chap case imeisha
 
Ngasa na Kev umri umesogea ila uwezo wao uwanjan tumeuona, haikua wachezaj wa kuachwa tu hv hv , kimsingi hakuna sababu ya kuwaacha

Juma ndio kabisa, huku Akija Msimbazi anaingia kikos cha kwanza moja kwa moja
Aaah!! Yaliyopita si ndwele bana.
 
Muda utasema ila wanatupa masononeko sana aiseee.

Mie sikatai ila kwa hili nina asilimia chache sana za kuamini kama kilichopo TFF kinaeza leta majibu yenye Afya kwetu.
 
Duuh!!! Sasa Kipi ni kipi? [emoji848][emoji848][emoji848]

Ila wacha niendelee kuona hizi sarakasi.
Unakumbuka mlivyoondoka na Kelvin sio?? [emoji38][emoji38][emoji38], it's your turn

either way, huyu mchezaj hamumpati tena
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].waambieni watoe mkataba wa morrison ALIOSAINI MIAKA 2..
hawa viongozi wenu wamewafanya misukule.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Na hii nadhani wameshaona tunavyowanyea huko mitandaoni ndio wanatufariji japo hata hii barua yao bado hainipi matumaini ya kutokuamini kilichofanyika.

Haiwezekani mchezaji awe wetu halafu asajiliwe na kutambulishwa bila wasiwasi namna ile.

Lazima kipo ambacho Simba anajivunia kama sio TFF basi ni huyo mchezaji aliyesaini.
 
Unakumbuka mlivyoondoka na Kelvin sio?? [emoji38][emoji38][emoji38], it's your turn

either way, huyu mchezaj hamumpati tena
Aaah!! Aende tu kwanza tulishamtowa akilini tangia ile mechi ya tarehe 12 kwa ule upuuzi ambao alifanya pale Taifa.
 
Hao ni mamluki tu, kaangali insta ya Tshishimbi nae anavyoshangilia. Hapo hamna cha maana.
Kama una kesi TFF, na haijatolewa hukumu. Kwanini timu yeyote ikusajili? Hiyo timu itrakuwa na watu wenye akili?
Pili, tuseme kuwa Simba wanajua mkataba wa Yanga ni batili, wamejuaje? Ina maana hukumu ime-leak?
Hapo hakuna mkataba na Simba, ni mamluki wanalipwa kwa fadhila walizofanya, wengine wamepigwa chini na huyo lazima hela iende Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…