mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
GSM hawana mkataba wa miaka 2 na Morrison HUO NDO UKWELI. KAMA WANAO WAUTOE..
na waseme walimlipa sh ngapi.
Vinginevyo IMETOKA HYO.
MCHEZAJI TAYARI YUPO SIMBA.sisi hatuongei mengi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
na waseme walimlipa sh ngapi.
Vinginevyo IMETOKA HYO.
MCHEZAJI TAYARI YUPO SIMBA.sisi hatuongei mengi
We jamaa bhana, unachekesha sana
Eti walitakiwa watoe mkataba wao wa miaka 2
Sasa wautoe huo mkataba wapi, kwa nani?
Nimekwambia hilo shitaka lipo TFF na nyaraka zote ikiwemo mkataba kama ushahidi zipo huko
Morrison amesajiliwa kwenye mfumo wa TFF na FIFA kama mchezaji wa Yanga
Wewe unataka wakuketee mkataba nyumbani kwako? Mkataba upo kwenye mamlaka husika, na hiyo mamlaka ndio inachelewa kutoa hukumu/majibu
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app