Nakazia na kujisafisha huko hatutaki mibarua waje waongee wao kama wao la sivyo hamna mtu atahangaika nayo Timu.Kama ni kweli mchezaji alisaini basi haijalishi tff ni nani, ndio muda Wa viongozi wetu kujipatia kiki. Kinyume na hapo tutawaachia timu yao
Kweli kabisa usemalo.Ngoja tuone mwisho wake
Jiesiemu hawataaminika tenaKweli kabisa usemalo.
Jana nilisitushwa na kauli yake moja hivi huyo Hersi anaulizwa itakuwaje Simba wakimtambulisha Morison kwa ile jana ye alichojibu tena kirahisi tu eti hapo ndio tutajua wao ndio walikuwa wanampa kiburi. Nikasema lol.Yeah,akipigwa ban kama South alivyotoswa na faini kwa mbumbumbu fc hapo sawa,hivi hivi tu na story za Hersi zitakuwa ni fake
Kabisa na mpaka hapa tumeshapunguza kiasi cha kuwaamini.Jiesiemu hawataaminika tena
Ila kwenye suala la Morrison Hersi atahitajika atoe maelezo pia mana amekuwa akihusika nalo muda wote na hata maelezo amekuwa akilitoleaYes mkataba ni jezi,hayo mengine mbona wao wenyewe kila siku wnayasema kupitia Hersi
Ha ha ha kama mtu Fulani Wa mtaani asiye na weledi wowoteJana nilisitushwa na kauli yake moja hivi huyo Hersi anaulizwa itakuwaje Simba wakimtambulisha Morison kwa ile jana ye alichojibu tena kirahisi tu eti hapo ndio tutajua wao ndio walikuwa wanampa kiburi. Nikasema lol.
Yaani alijibu ilimradi tu.
Wakati mnapita na Kessy, Yondani na Twite hamkujua haya?Maamuzi yanaweza kutolewa hata baada ya ligi kuanza, hilo siyo jambo la ajabu. Ila, ilishajulikana kuwa hatochezea Yanga kwa hiyo sioni cha ajabu. Ila, nimeidharau sana Club ya Simba. Just kumsajili mchezaji mwenye kesi kunaonyesha ukosefu wa professionalism.
Ni sawa na kufunga ndoa na mtu mwenye shauri la talaka mahakamani, ndiyo ndoa itaisha lakini ni uhuni.
Usibwekwe bekwe kama mbwa..twende taratibuNataka iwe on record, kwamba
Napinga tapeli Morrison kwenda Mbumbumbu Fc, sio kwa sababu Yanga tunamhitaji saaaana
Napinga utapeli unaofanywa na Morrison na Mikia FC
Ha ha ha kama mtu Fulani Wa mtaani asiye na weledi wowote
Kosa la Morrison ni matokeo ya kukosea na kukurupuka ktk kuandaa mkataba, Eneo ambalo Morison inawezekana kalicheza vzr ( mtazamo wangu )Ila kwenye suala la Morrison Hersi atahitajika atoe maelezo pia mana amekuwa akihusika nalo muda wote na hata maelezo amekuwa akilitolea
Yeye ndiye anatakiwa ajisafisheIla kwenye suala la Morrison Hersi atahitajika atoe maelezo pia mana amekuwa akihusika nalo muda wote na hata maelezo amekuwa akilitolea
Usibwekwe bekwe kama mbwa..twende taratibu
Legendary Luic aliona mbali
Na yote hii sababu hatuna mshiko tungekuwa nao pia na sisi tungeheshimika.Tatizo Yanga sasa hivi hatuna watu wanaojua fitna za mpira na jinsi ya kucheza nazo.
Namkumbuka Manji
Manyani banaUsitoe toe ute nyuma kama mbwa jike wewe
Ubumbumbu upo damuni mwa mikia dada po
Manyani bana
mnabweka kama Mbwa
Elimu ya mpira sifuri
ni kocha wenu kasema hayo sio mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]