Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama ni kweli mchezaji alisaini basi haijalishi tff ni nani, ndio muda Wa viongozi wetu kujipatia kiki. Kinyume na hapo tutawaachia timu yao
Nakazia na kujisafisha huko hatutaki mibarua waje waongee wao kama wao la sivyo hamna mtu atahangaika nayo Timu.
 
Yeah,akipigwa ban kama South alivyotoswa na faini kwa mbumbumbu fc hapo sawa,hivi hivi tu na story za Hersi zitakuwa ni fake
Jana nilisitushwa na kauli yake moja hivi huyo Hersi anaulizwa itakuwaje Simba wakimtambulisha Morison kwa ile jana ye alichojibu tena kirahisi tu eti hapo ndio tutajua wao ndio walikuwa wanampa kiburi. Nikasema lol.

Yaani alijibu ilimradi tu.
 
Jana nilisitushwa na kauli yake moja hivi huyo Hersi anaulizwa itakuwaje Simba wakimtambulisha Morison kwa ile jana ye alichojibu tena kirahisi tu eti hapo ndio tutajua wao ndio walikuwa wanampa kiburi. Nikasema lol.

Yaani alijibu ilimradi tu.
Ha ha ha kama mtu Fulani Wa mtaani asiye na weledi wowote
 
Maamuzi yanaweza kutolewa hata baada ya ligi kuanza, hilo siyo jambo la ajabu. Ila, ilishajulikana kuwa hatochezea Yanga kwa hiyo sioni cha ajabu. Ila, nimeidharau sana Club ya Simba. Just kumsajili mchezaji mwenye kesi kunaonyesha ukosefu wa professionalism.
Ni sawa na kufunga ndoa na mtu mwenye shauri la talaka mahakamani, ndiyo ndoa itaisha lakini ni uhuni.
Wakati mnapita na Kessy, Yondani na Twite hamkujua haya?
 
Nataka iwe on record, kwamba

Napinga tapeli Morrison kwenda Mbumbumbu Fc, sio kwa sababu Yanga tunamhitaji saaaana

Napinga utapeli unaofanywa na Morrison na Mikia FC
Usibwekwe bekwe kama mbwa..twende taratibu

Legendary Luic aliona mbali
 
Ha ha ha kama mtu Fulani Wa mtaani asiye na weledi wowote
Ila kwenye suala la Morrison Hersi atahitajika atoe maelezo pia mana amekuwa akihusika nalo muda wote na hata maelezo amekuwa akilitolea
Kosa la Morrison ni matokeo ya kukosea na kukurupuka ktk kuandaa mkataba, Eneo ambalo Morison inawezekana kalicheza vzr ( mtazamo wangu )

Lkn je Yanga hawakuona mapungufu yao ktk makubaliano ?

Kilichopelekwa Tff nn

Na nn maamuzi ya Tff ktk hili

Mchezaji kuama timu kawaida ila taratibu zifuafuatwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barua tayari
FB_IMG_15968994934027031.jpg
 
Usitoe toe ute nyuma kama mbwa jike wewe

Ubumbumbu upo damuni mwa mikia dada po
Manyani bana
mnabweka kama Mbwa
Elimu ya mpira sifuri

ni kocha wenu kasema hayo sio mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nimesema

Mbwa jike anayetoa ute nyuma, hutumia mbinu nyingi kuvutia madume

Nimesema mimi

Ila legendary Rage alisema simba ni mbumbumbu (huyu ni aliyekuwa mwenyekiti wa simba mbumbumbu na kwa sasa mwanachama wao)
Manyani bana
mnabweka kama Mbwa
Elimu ya mpira sifuri

ni kocha wenu kasema hayo sio mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom