Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nakazia na kujisafisha huko hatutaki mibarua waje waongee wao kama wao la sivyo hamna mtu atahangaika nayo Timu.Kama ni kweli mchezaji alisaini basi haijalishi tff ni nani, ndio muda Wa viongozi wetu kujipatia kiki. Kinyume na hapo tutawaachia timu yao