Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hey mpendwa! Kwaiyo kama mtu hataki tena kuwepo hapo keshapewa dau linalotokana na maumivu ya upande wa pili baada ya wao kukomolewa utawalaumu viongozi??

Mtu akifanya maamuzi yake utamlazimisha?? Wapo Watu makini watapatikana acheni kulaumu uongozi jamani SIMBA ipo na itakuwepo bila senzo!! Kafanya maamuzi yakuhamia yanga nihakiyake acha aende
 
Kuna vitu vingi simba vipo ndo maana senzo alionekana wa maana.
Maana mfumo ulikuwa unambeba.
Hapo yanga bado wenyewe wana mfumo wa kuchagua mwenyekiti wao kwa kura ni wazi msola atabaki kuwa ndie mwenye maamuzi.
Msola hawezi kuwa chini ya senzo na senzo hawezi kukubali kuwa chini ya msola...

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Anaenda kuwa na cheo gani huyu pale yanga??
Nimekwambia kuna kazi maalum ametumwa na Simba, ukasema si rahisi kihivyo. Jiulize ule uwanja wa Kigamboni umetolewa katika mazingira gani...
 
Hata Magori wakati anaondoka hatukupenda, pengo la CEO linazibika kiwepesi, aliwakimbia Orlando itakua sisi bana, issue ni kupoteza Mchezaji..hapo ndipo patamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…