Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Umeongea kwa uchungu sana [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Mpaka hapa nilipo machozi yamenilenga na mimi [emoji28]
Mpaka hapa nilipo machozi yamenilenga na mimi [emoji28]
Morrison ni mchezaji, Senzo ni mtendaji. Usajili unaofanyika ni wa wachezaji, watakaoingia kwenye pitch ni wachezaji. Mtendaji anaajiriwa muda wowote hata mwisho wa msimu, na wala haingii dimbani kucheza. Unaona Simba wanatafuta Kaimu Mtendaji, sasa je Yanga watatafuta Kaimu Morrison?