Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Deo Kanda sio mchezaji wa Simba tena alikuja kwa mkopo wa mwaka 1 umeisha amerudi kwao.Yamekuwa hayooo mmeshaanza kumkana. lol ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deo Kanda sio mchezaji wa Simba tena alikuja kwa mkopo wa mwaka 1 umeisha amerudi kwao.Yamekuwa hayooo mmeshaanza kumkana. lol ๐๐๐๐
Namba ile ile aliyokuwa anaicheza Simba.
Wanahangaika sasa hivi mitandaoni, halafu kibaya zaidi wao wametapiliwa, Sisi tunafanya kweli
Na bado moja, weka bando washa data, muda wowote tunakinukisha tena [emoji1548]
Morrison ni mchezaji, Senzo ni mtendaji. Usajili unaofanyika ni wa wachezaji, watakaoingia kwenye pitch ni wachezaji. Mtendaji anaajiriwa muda wowote hata mwisho wa msimu, na wala haingii dimbani kucheza. Unaona Simba wanatafuta Kaimu Mtendaji, sasa je Yanga watatafuta Kaimu Morrison?Walitucheka jana sisi kuandika barua na wao leo wameshaandika yao. ๐๐
๐
Ukishakikosa lazima kukikashifu na kukitia dosari na ndio sababu hata Morison alivyokuwa Yanga mlimsema sana kwa kauli chafu lakini leo huyo huyo amegeuka sukari kwenu. Lol.Simba ni zaidi ya SENZO.
alikuwepo pale kama boya tu lakini mambo yote yalikuwa yanafanywa na SIMBA WENYEWE.
na huwezi kuona pengo lake.
Swali la msingi mnampa cheo gani hapo yanga.?.
Vipi mshindo msola nafasi yake?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Tulia Mtani soon tutawaambia nafasi yake.
Tulia mtani dawa iingie hatujamaliza dose ya chloroquine
Alikuwa simba kwa mkopoYamekuwa hayooo mmeshaanza kumkana. lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia Mtani soon tutawaambia nafasi yake.
Hahahahaaaa. Ujue nimecheka.Hahahahahahahahah Unaweza kunitajia namba aliyokuwa anacheza Senzo Uwanjani. Hahahahahahahahah
Waambie tumesajili aliekua anasajili wachezaji SimbaUkishakikosa lazima kukikashifu na kukitia dosari na ndio sababu hata Morison alivyokuwa Yanga mlimsema sana kwa kauli chafu lakini leo huyo huyo amegeuka sukari kwenu. Lol.
Nadhani ni swala la muda tu mtani kwani tunayoyapitia hiyo ndio itakuwa suluhisho.Na mtakubali kubadilika na timu kuendeshwa kisasa?maana yanga kubadilika hamtaki mtawezana?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sie tumesajili aliekua anasajili wachezaji SimbaHuyo senzo ni kiongozi.
Haingii uwanjani. Hauwezi kulinganisha thamani ya morrison na senzo.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ukishakikosa lazima kukikashifu na kukitia dosari na ndio sababu hata Morison alivyokuwa Yanga mlimsema sana kwa kauli chafu lakini leo huyo huyo amegeuka sukari kwenu. Lol.
Ziba pua hizo wewe Shadeeya kama kimenuka๐ท,Hivi wako wapi hawa waliokuwa wanatunyima usingizi inamaana hawajakiona hiki mbona hawajatia neno?
Sesten Zakazaka
Troisiรจme Ceil
Penison
Van pebles
Sanchez magoli
Don Clericuzio
Faru Kabula
Albinoomweusi
bila kumsahau yule mjingamimi.
Kimenuka jamani huko eeee. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Morison kitu gani bwana. Mechi ngapi hajacheza.Morrison ni mchezaji, Senzo ni mtendaji. Usajili unaofanyika ni wa wachezaji, watakaoingia kwenye pitch ni wachezaji. Mtendaji anaajiriwa muda wowote hata mwisho wa msimu, na wala haingii dimbani kucheza. Unaona Simba wanatafuta Kaimu Mtendaji, sasa je Yanga watatafuta Kaimu Morrison?
Sie tumesajili aliekua anasajili wachezaji Simba
Kupata kichekesho hiki bonyeza neno SENZO. ๐๐๐Unawaza kumsajili Chama wakati Million 80 ya kumpa FEI TOTO asaini mkataba mpya huna hii ni zaidi ya vichekesho
Wamepagawa barua hata saini haina. ๐๐๐Hicho kipeperushi kimeandikwa na nani, maana Senzo ndio huwa anaandika
Halafu kwanini wanasema bodi ina...,si waseme tu mwamedi